Recent content by ogwende

  1. O

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa CHADEMA ratibu ukusanyaji ushahidi dhidi ya Sabaya maana ukatili mwingi walifanyiwa wanachama wa CHADEMA

    Brother umejibu kichama zaidi awamu ya tano,ebu amka tuko awamu ya sita
  2. O

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

    Mkuu unataka chadema i deal na maswala ya maji kwani serikali iliyoko madarakani inafanya kazi gani?barabara mbovu wabunge waliochaguliwa si wako bungeni,wanashindwaje kuwakilisha majimbo yao,unajua unachoandika brother
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tafsiri potofu ya agizo la Rais Samia kuhusu kodi itaigharimu Serikali

    Elements of dictatorship detected kwenye hii post
  4. O

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    John the Baptist, mbona umeanza kukiukw maadili ya chama pendwa!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

    CHADEMA ni kama imani fulani, sio rahisi kufa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mbegu hii mlipanda CCM, leo msilalamike. Tusitiane ujinga wa uzalendo na utu

    Kwa kuwa walianzisha sie tutamaliza
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Nawalaumu waliotulazimisha tuongozwe na huyu baba,Mungu amsamehe hata ivyo
  8. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Majaji na Mahakimu wanatumia Kiingereza cha ku-copy & paste kutoka hukumu za nchi nyingine

    Our prezidaa is like Jack of all trade
  9. O

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu: Hakuna Corona Moshi, Haya ni Mashambulizi dhidi ya Uchumi wetu

    Waandishi wa habari wamekosa watu Wa kuwahoji,diwani ana uelewa gani katika maswala ya afya?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atema cheche kuhusu miradi inayoendelea Chato

    Endelea na kumbukumbu japo ni contrary na mada tajwa
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atema cheche kuhusu miradi inayoendelea Chato

    Only true patriots will understand the people's President
  12. O

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

    Kwaiyo bwashe unaendelea kusisitiza Tanzania ni makao makuu ya Mungu!watakaokuelewa ni mataga tu
  13. O

    JamiiForums Tanzania Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Redemption of shares sidhani kama itakuwa na positive result hasa kwenye hii bank ambayo serikali ina hold Major shares
Back
Top Bottom