thamani ya chupa ni kile kilichomo ndani na sio chupa , so acha apokee shukrani tena bora anyamaze tu maaana waliotumika enzi hizo ni wengi na kumbukumbu zao hajulikane tena , NIMECHOKA KUPOTEZA TIME PII-PII HATUELEWANI
mmmh kweli mtoto wa mama ni wa mama tu, mbona Roma kafungiwa na hakuna aliyemwonea huruma ama kubeza manenao maneno ety kaonewa, kila mtu anavuna sawa sawa na alichokipanda. SHIKAMOOOO SERIKALI
mmmh msiba huu sasa me mwenyewe umri huo nilikuwa kidato cha tatu, kumbe ningechelewa kidogo ingekula kwangu,, hahahaaaaa SHIKAMOOO TANZANIA maana kwa nchi kama ya kenya sijui kama wangefanya hivyo kusingekuwa na wasomi hakika maaana kenya mtu ana miaka 18 ndo yupo la tano ama la nne
AFU ULE...
jaribu kwenda kutembelea huko kwanza lkn pia inakubidi utafute rafiki ambaye atakupa information kamili na namna ya kuomba kazi , kuhusu kuenda kenya ama uganda andaaa pasport yako tu then ukafanye utafiti
Hongera mzeee nice dream sikukatishi tamaaa but faham changamoto kwanza za nchi unayotaka kwenda kuwa husttle, kwa nchi kama kenya mm nimewahi kuishi huko pia hata elimu ya msingi nimepiga huko miaka minne, japo baaadae nilikuja kusomea tz na elimu ya juu pia lakini baadae niliingia nchini...
mmmh ndugu pole sana jipe moyo tu ,This is just a life-threatening challenge so never give up mm mwenyewe nimesoma tena shida sana mpaka nimehitimu ,lkn huwezi amini mwaka wa 3 sasa sijafanikisha ajira mwaka jusi nilijiingiza kwenye usukumaji toroli na ubebaji mizigo mjini alimaarufu kama...
hahahaaaaa! Makoja but hongera kwa utafiti wako, siwezi kukupinga coz huo ni uhalisia uliopo kwenye maisha ya wanadam baadhi
na kwa swala la mke kujenga mazoea na mzazi mwenzake kweli kwa sisi wanaume huwa linatupain sana, ila jambo njema hapa na la busara ni kuzungumza vyema na mkeo kwa habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.