Recent content by officialBossmtoto

  1. officialBossmtoto

    BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    KWANZA kabisa nianze kwa salam. Kuna hili wimbi la polisi wanachunguza LBL na kukamata baadhi ya wahusika. Inaweza kuwa hatua nzuri na hapa naomba niwakumbushe Kalyinda. Mwaka 2022 ulikua mwaka wa neema sana kwa matapeli wa mifumo ya Ponzi. Kabla ya kalynda walianza SCATEC wakajipigia zao...
  2. officialBossmtoto

    Mgogoro wa ardhi waibuka Kindondoni, mawe yapambanishwa na risasi

    Huyo anaesema waondoke tuu hajui analosema. Ama ndo tajiri mwenyewe anaetaka dhulumu mali ya watu
  3. officialBossmtoto

    Mgogoro wa ardhi waibuka Kindondoni, mawe yapambanishwa na risasi

    Sqm 400 kinondoni ilifika 2030 utakua hushikiki.
  4. officialBossmtoto

    Mgogoro wa ardhi waibuka Kindondoni, mawe yapambanishwa na risasi

    Bado mda kidogo watu watafunga mikanda na kukanyaga pedel ya mafuta mpaka mwisho na kusema lolote liwalo na liwe
  5. officialBossmtoto

    Mgogoro wa ardhi waibuka Kindondoni, mawe yapambanishwa na risasi

    Kuna muda nilipita nikakuta boda na raia wengi sana hapo maeneo ya kinondoni kwa Tarimba. Boda akawa amesema ni mgogoro wa ardhi ambao kuna tajiri anaitaka hio mali kwa nguvu. Sina taarifa kamili wala za uhakika. Ila sasa imefika hatua silaha za moto na mawe yanatumika.
  6. officialBossmtoto

    Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

    Kumbe ni uongo. Sasa ngoja kesho tukifungua ofisi utajua hujui na hivi mimi ndo umenipa kitengo cha pesa nitakunyoosha boss hamna rangi utaacha kuona.
  7. officialBossmtoto

    Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

    Weee acha uongo mkuu saluni gani hio na mimi nipeleke kitambi changu
  8. officialBossmtoto

    Agnes Doris Liundi vs republic

    https://www.jamiiforums.com/threads/kesi-ya-agnes-doris-liundi-nini-hasa-kilitokea.265445/
  9. officialBossmtoto

    Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

    Nina Yuan 442 Sawa na 170,000/- Kama kuna mtu anahitaji.
  10. officialBossmtoto

    Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Hizi ni Soga tu kuipigia chapuo muvi zao. Hakuna lolote wala chochote. Watupumzishe movie zishauza basi watafakari mambo mengine
  11. officialBossmtoto

    Kushindwa kujizuia pale ashki zinapokukamata

    Dada alikua anacheza karata zake vizuri. Jamaa akaona amepata Malaya material
  12. officialBossmtoto

    Kushindwa kujizuia pale ashki zinapokukamata

    Eeeh wewe jamaa. Yaani mpaka malaya akakuogopa [emoji23]
Back
Top Bottom