Recent content by Officer mnembo

  1. Officer mnembo

    For JamiiForums Mobile users

    cjui na mimi nimeweza ku-BOLD maneno
  2. Officer mnembo

    UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    Guyz vip kuhusu vyuo vyengne na matawi ya UDSM kama vile MUCE na DUCE vip huko post bado ....? Kwa alieona au mwenye link afanye kututupia nazo tuone
  3. Officer mnembo

    Mwanafunzi Mabibo atekwa, abakwa na kuuawa kikatili

    Daaah binadamu gani wenye roho za kinyama kias hicho R.I.P IRENE
  4. Officer mnembo

    Tv imeharibika tatizo ni nini? Hakuna kilichoungua

    Duh fundi TV msaada pliz!!!!!!!
  5. Officer mnembo

    Mjamzito afariki dunia kutokana na foleni leo hii Dar-es-Salaam

    mungu ilaze roho ya marehemu mahala pema peponi
  6. Officer mnembo

    Mjue Nyangumi (Whale): Sifa, uwezo na maisha yake

    Tehtehteh!! Vp wadau hakuna meli au manuali iliyowahi gonga huyu mnyama mana huo ukubwa ni nouma sana!!
  7. Officer mnembo

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Mmmmh!! Yangu macho tu..
  8. Officer mnembo

    Mhadhiri wa UDSM auawa kwa risasi jijini Dar es Salaam

    Ni kweli yaitajika kuimarisha ulinz hasa wa kisasa utakaoweza kumbaini mtu baada ya tukio yan waweza tega securty camera kitika maeneo yote ya jiji na hasa penye msongamano wa watu na barabaran kwa ujumla.na pia adhabu kali itolewe kwa wahusika pindi wanapokamatwa na sio cku kadhaa tu then...
  9. Officer mnembo

    New Miono high school

    Vp wadau wangu kuhusu mabweni,je inahtajika kwenda na godoro?
Back
Top Bottom