Mtoa mada tra sio dagaa ,nchi haiwezi kufanikisha jambo lolote la maendeleo kama ina mamlaka ya mapato corrupt, iwe marekani au afrika hawa ni muhimu sana katika ukuaji wa uchumi wowote,bila nidhamu ya tra hatuwezi fika popote,hivyo bac hawa si dagaa,ni nyangumi,uzembe wao unaligharimu taifa...