Nakushauri onana na daktari ana kwa ana umpe historia ya dawa ulizotumia kipindi cha nyuma, pia jitahidi sana kutoumwa na mbu, hili linawezekana, ukifaulu hili hata dawa hutameza tena kila wakati, mi nlikuwa nasumbuliwa sana na malaria, nyumbani nliamua muda wote milango iwe imefungwa, na...