Mkuu, kwanza kabisa... Inaonekana huyo mkeo ana wivu mkubwa sana na binti ye, yaani haziivi kabisa..
Na alitaka hilo jukumu la kukupakulia chakula afanye yeye..
So anaonesha hivyo ili wewe upunguze ukaribu na binti yako, mate dogo ongea nae kuhusu ukaribu wake na mkeo. (mama ake).
Tafuta...
Kuna watu huwa wanafikiri kuishi kwa kufuata kila kitu ni sawa, mtu yoyote anaye question reality ni kapuku...
Ila if we look throughout history all inventions came from curiosity of reality.. Kina Plato, kina Einstein, kina Newton.. They both questioned
Unapumzika au unatoweka kabisa...
If we are no different to animals, mbona hatu apply hii kwa wanyama... Leo ukichinja kuku utawazia kuhusu uwepo wa kuku baada ya kumla? Kwann wewe binadamu kufikiri kuwa utaishi au kupumzika baada ya kifo?
Mmh aisee! What if sisi ni kama Matawi tu.. Akisha nyauka ndo yameisha hivyo? It's not making any sense eti baada ya utambuzi huu tulionao kupotea ndo tutajua ukweli..
Ukifa ndo utajua?
Mbona kabla Sija zaliwa sikujua?
Adhabu ya nini mkuu? Kwani kuzaliwa humu duniani ni kosa? Na ni kosa gani specifically ambalo binadamu au kiumbe hai anakuja kuadhobiwa hapa duniani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.