Recent content by Odaa

  1. Odaa

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

    Ama Kwa Hakika Hujakosea! Namkubali Sana Lulu Anajua Kazi Yake Na Anajiamini Huwa Nikimiss Kipindi Cku Yupo Studio Naumia Sana.. Kwa Ujumla Watangazaji Wa Citizen Wapo Vizuri Wametupita Tz Kwa Kila Kitu
  2. Odaa

    JamiiForums Tanzania Wadada, tissue na toilet paper hazitoi uchafu! Tumieni maji mkienda Msalani

    Hahahahahahaha! Asante Sana Umenena Vema Hebu Watuache Wadada Vyovyote Tissue Ni Muhimu Na Ni Toilet Ngapi Utapata Kuna Maji! #tabibumtaratibu
  3. Odaa

    JamiiForums Tanzania Leo na mimi niwape dose yenu wadada wa mjini hasa faceebok

    Na Boss Akishakumega Kitengo Unachopangiwa Kuna Mwenye Ujuzi Zaidi Yako Ila Akusaidie Naye Mnakutana Rum 307! Hahahahahaha Hakika Tanzania Bila Ukimwi Ni Kama Kusubiri Ndege Bandarini
  4. Odaa

    JamiiForums Tanzania Be careful with my heart

    Yaani Wanapenda Kucheza Na Akili Za Watazamaji.. Hawapo Active Kila Tamthilia Watakayoonyesha Lazima Waikatize Bila Hata Kujua Ndivyo Wanavyopoteza Watazamaji Wa Chanel Yao! Kwanini Wacjifunze Kwa Chanel Zingine Eg Citizen, Itv Even Tv1 Inawatupilia Mbali Na Ni Chanel Mpya! *tv Mnakera Na Soon...
  5. Odaa

    JamiiForums Tanzania Be careful with my heart

    Huwa Wanasema " Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wetu" Cjui Ni Lini Watatoa Sababu Ya Maana Wanaboa
  6. Odaa

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji mwingine wa Clouds FM anyakuliwa na BBC Swahili

    Anauwezo Mkubwa Na Hongera Zake! Muhimu Ktk Kazi Ni Kujituma Na Kuipend Kazi Yko
Back
Top Bottom