Recent content by October 2pm

  1. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tunatangaza October 29 itakuwa siku ya Familia za wahanga wa mauaji ya kikatili

    Maybe! Mayi Mayoooo! Mashujaa wetu kifyetufyetu. Waenziwe mayii! Wamemtoa sio! Wamefikilia wametuweka pembeni! Heheheee! Haluuu.. kama wajua wao walimaliza siye ndo kwanza mchezo haukuanzaga. Damu zao hazitaenda bulebule. Walahi gudubayii! Maazimisho ni 29. Na bado.
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee Chenga walahi. Bado anaamini Mwanaye atakuwa Rais. Labda Rais wa Bumbuli

    Heheheh! Mahii! Mayii mayope Na bado
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee Chenga walahi. Bado anaamini Mwanaye atakuwa Rais. Labda Rais wa Bumbuli

    Mwakumbuka akiwa anahojiwa alivyojibu kwa dhereu na kiburi. Mwenyewe anacho kilifikiri kinanguvu. Hehehee! Walahi tutaona mengi. Wewe mzee miyeyusho sana. Humwoni Emma the boy alivyowekewa pilipili Manga na binzari. Wajipa moyo. Kama huo mfumo unao endelea! Miye niko palepale tuliporushiana...
  4. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Hakuna kufikiria kujiuzulu, kushinikizwa kujiuzulu, wala kupanga kujiuzulu

    Na bado! Mbona hamjatoa milio. Na bado
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Heheee! Nani atakubali maridhiano?

    Hehehe waambie siye tumeamua kuingia nungwi. Na bado
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Heheee! Nani atakubali maridhiano?

    Mkadhani mkiniingiza ndani ndimi ntatoa siri ya kambi? Hehehe! Mahii, mnalota sana. Kama mnaniona zumbukuku, basi mumejikosea. Mmeloba. Sasa huyo mtu wenu munayemtafuta, huenda akawaletee jambo kubwa la kutetemesha. Sijui walahi! Mahii! Hakuna mambo ya maridhiano wala mapatano tena. Hakuna wa...
  7. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mpango wenu kumtoa Mafwere kafara na wenzake wanne hatuukubali

    Na bado
  8. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tunamuunga mkono Yuda Iskariote. Neng'enekeni tu

    Hehehee! Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha! Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha kwa uroho wenyu wa madalaka. Na bado. Mwambieni mwambieni mali yake bado yaliwa. Na bado.
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mpango wenu kumtoa Mafwere kafara na wenzake wanne hatuukubali

    Na bado
  10. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mpango wenu kumtoa Mafwere kafara na wenzake wanne hatuukubali

    Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali. Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo...
Back
Top Bottom