Recent content by October 29

  1. O

    Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sie tuko bize kumtafuta yesu kwa kina Mwamposa... Huku wengine pia wapo bize kusaka fedha....kupanga nikuchagua mkuu
  2. O

    Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Hao wengine wachukueni na nyinyi raia...mkuu nenda kituo cha watoto yatima omba mtoto unaetaka kumuadapti,watakupa! Ila shauriana kwanza na mumeo.
  3. O

    Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

    Ooh! Kwahiyo sasaivi hamna dhambi mnakulana kwenda mbele..
  4. O

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    tutajuaje kwamba HABARI zako wewe sio fake News? Ebu tusaidie ndugu? Maana Kila anaeleta HABARI humu unasema ni fake news
  5. O

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Nyani Ngabu leo hajawa na upande kuangalia vita vya middle east! Kiukweli kuna mengi tunafichwa na hao kina Trump
Back
Top Bottom