Recent content by Ochoa Real Estate

  1. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Sheria ya nchi gani Boss? Sheria ya Sudani hiyo?
  2. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa/karibu na Madale/karibu na njia nne

    Habari za wakati huu... Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa... Kiwanja kipo upande wa kulia kutokea Madale mwisho.... Kilomita mbili mpaka madale mwisho... Kilomita mbili mpaka Goba njia nne.... Kiwanja kipo ndani ya mita 200 kutokea barabara kuu la Lami ya Madale.... Kiwanja kipo eneo zuri sana la...
  3. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Hii ni biashara huria kaka Hatukuwahi kumlazimisha mtu kununua tunachouza ila tunawaomba tuu mnunue... Vipo viwanja mpaka vya laki moja kwa size hiyo hiyo... Ni wewe tuu na uchaguzi wako kiongozi...
  4. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Kiongozi hii ni biashara huria.. Kuna viwanja mpaka vya laki moja... Na kuna viwanja mpaka vya milioni 500 kwa size hiyo hiyoo... Kwahivyo ni wewe mwenyewe uchaguzi wako... Kwahiyo tuache ujuaji tuu kiongozi kwenye biashara ya mtu... Biashara au kazi ni maisha ndugu yangu.. Usiweke maoni mabaya...
  5. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Bado hakina hati
  6. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Ni 10 X 10 Boss Na hayo maeneo chumba choo ni elfu 7 bila kusumbuka Nyumba ya vyumba viwili seble na jiko ni 300K mpaka 350K bila wasiwasi
  7. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Hakina hati Boss Mwenyewe amekata kipande kidogo kwasababu ya shida za kifamilia(matatizo binafsi)
  8. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Asante lakini pia kipo 40 X 50 milioni 150 tuu njoo lipia Boss 🙏
  9. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Kipo 40 X 50 njoo milioni 150 Njoo lipia Boss 🙏
  10. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kulenga viwanja/maeneo

    Asante sana kwa ushuhuda
  11. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Aliekwambia huwa tunachepuka ni nani? Au na wewe ni mchepuko?
Back
Top Bottom