Binafsi siafikiani na hilo. Lakini pia wenza wa aina hiyo nawaheshimu sana. Maana wako wa kweli kwa wao wenyewe pamoja na dhamiri na nafsi zao. Hawana unafiki!!
Kuna maana gani kuwa kwenye uhusiano na mtu halafu unatoka nje kimapenzi kwa kujificha halafu unarudi nyumbani na kujifanya...
Umakini ni pamoja na kuwa na kanuni mwongozo unazozisimamia bila kutetereka. Sasa hao unaowaita makini ila wanafumbwa midomo na rushwa hawana lolote. A shyster lawyer can never be a good lawyer. End of story!
Tanzania hakuna wanasheria makini. Au niseme Tanzania hatuna umakini wa jambo lolote lile. Kama tuna umakini kwenye lolote basi naomba nifahamishwe hilo jambo.
Hawa wanasheria wa Tanzania ukiwasikia wafunguapo vinywa vyao yaani ni pumba tupu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.