Hua nawashangaa mnaposema wasukuma washamba kwa taarifa yenu sie ni wajanja ila ni wakimya hua tunaongea kwa vitendo katika kudhihirisha hilo tunaenda kuionyesha ccm kwamba wasukuma sio mnavyowafikiria chadema iko ndani ya dam na sio machoni kwa watu kum......nina.
When I hate ccm people shout me I'm crazy bt i still watch who btn me and you is crazy cauz every corner Tanzanian crying, why you stop me blaming while my colleagues are driven in poverty by ccm? Don't stop join me please !
Ada ni 1300000/= kwa mwaka na unatakiwa ulipe nusu kwa kila mhula (semister) hakuna excuse yoyote bila malipo accommodation iko nje ya ada kama utakaa hostel utalipa 600 /day na pia utalipa matibabu kama huna bima 150000/= nadhani nimejitahidi kama hujaelewa nijuze nikujuze
Ogopa sana mtu anaesaliti wanajamii na maskini wenzake kisa pesa ndogo aliyohongwa but kama umeona ni kosa muombe mungu akusamehe maana ndie pekee anajua mangapi umefanya yawezekana uliyoahinisha ni machache lakini mengine umeficha.......tafadhali mungu ndie anajua nini na mangapi uliyosaliti jamii
Jiwe walilolikataa waasi ndo jiwe kuu....nashangaa wewe unaebeza mkutano tuliokuwepo tumeshuhudia mkutano ulikua ni mkubwa kuliko unavyofikiria uwanja uliokua unafanyiwa mkutano ni mkubwa sana kwa hyo camera hazijakidhi ulichokua unakitaka kwa hiyo ungetaka full data labda ungekuja na pia hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.