Wadau naomba ushauri wenu, nahitaji kununua kati ya IST toleo la 2005 au WISH ya 2007 ni ipi inafaa zaidi kwa TZ?
Pia nataka ninunue kupitia tradecarview japo nipo Japan kwa miezi minne zaidi lkn sina uhakika na yard zao pia lugha ni tatizo wengi hawajui kiingreza. Naomba uzoefu wenu.
Sio siri kazidisha sifa sasa utadhani Mcharoo tunaumizana roho jamaaaa....
Tutapoteza salamu toka kwa marafiki zetu akikuona unakuja tu anatafuta chochoro.
Viongozi wao wanakuja na hoja nyepesi eti wamekosa ubingwa sababu Hajibu, Kiiza na Kessy wamehujumu timu nao wameridhika kabisa.
Wachezaji wengi wakiondoka yanga kwa nyodo uwa wanazimika jumla namkumbuka Said Suweid Scud aliifunga simba mechi zote mbili za ligi akaanza ufaza watu wakamkata na umaarufu ukaishia hapo.
Tatizo la yanga mara zote wanapocheza na azam wanaanza vizuri lakini wakishapata goli wanaanza kujihami kujiangusha na kupoteza muda mpaka goli linarudi ndio wanahaha kutafuta lingine wakati muda umeisha na kutengeneza droo ya kizembe.
Mara zote tunapotoka sare na Azam uwa wanachomoa wao tena...
Coast wamevuna walichopanda mgogoro wao na Binslum umewatoa kwenye njia. Na uongozi wa chama cha soka Tanga unapaswa ujitathimini kama bado wana wana uhalali wa kuendelea kuwa viongozi haiwezekani mkoa unapoteza timu zote tatu ligi kuu kwa msimu mmoja kisha bao mnajiita viongozi.
Mkuu mimi naishi kwenye jimbo la huyo waziri najibu tu swali lako la kama ni kweli anatabia za ulevi. Jibu ni NDIO alipoteuliwa alifanya ziara ya kushukuru wapiga kura akiwa na msafala mkubwa wa watendaji karibu wote wa wilaya lakini yeye alikua amelewa sana hata michango au maswali ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.