Recent content by Obunde

  1. O

    JamiiForums Tanzania Hakuna Magufuli anachofanya ambacho hakukisema!

    Mkae Kimya Rais afanye Kazi Yake nanyi ambao hamkumchagua Roho ziendelee kuwauma hadi miaka mitano!!!
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nipigie 0755705100 Nikuonyeshe
  3. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa alikuwa mzuri kabla hajawa mbaya

    Kaka yangu nipe maneno mazuri ya Msingi yatayosababisha nione ubora na umuhimu Wa Chadema tukiacha utani heartly speaking sijaona msimamo imara Wa cdm maake hawana msimamo kabisa na hawaeleweki kelele nyingi,tribalism kwa sana etc. Ccm tangy nazaliwa 1980 mpaka leo nimeona wamefanya nini wana...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa alikuwa mzuri kabla hajawa mbaya

    Usitake nicheke Alex maake nikikumbuka wakati Wa Uchaguzi nusura nikose ndoa nikajuta kuolewa na majamaa ya Kaskazini mbavu zangu mie pia baba Manka alinitunza kiporo
  5. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa alikuwa mzuri kabla hajawa mbaya

    Wewe mtoa mada AWALI NI AWALI HAKUNA AWALI MBOVU. CCM itawaumiza sana vichwa nyie CHDM au UKIWA hata mngepata uzoefu gani hata sisi tunajipanga hatukai kimya CCM mnavyojipanga nasi wanawake tuliowazaa tunajipanga kwa mbinu tunazozijua na ndio maana dk.75 mliucheza mpira vizuri wakati Wa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Wajinga ndo waliwao pwiiiii hivi Kati ya URAIS NA KARATASI YA TUZO YA KUPOOZWA KAMA WALIVYOMUITIA MZEE TB JOSHWA KIPI ZAIDI
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wajue Mawaziri 4 viporo

    Kaghasheki anafaa sana
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wajue Mawaziri 4 viporo

    JPM Elekeza jicho lako TANAPA kuna nini wanaanza kumuua aliewaona wakitorosha TWIGA WETU na watawarejesha tu dhamana yao wakikamatwa 10 billion
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wajue Mawaziri 4 viporo

    Mali asili apewe Ateuliwe Kaghasheki apewe akawashughulikie TANAPA walioanza kuua mkuu Wa Idara ya Ulinzi na Usalama TANAPA kwani Idara hiyo inamfaa na amewahi kupanusa
  10. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Wewe Mwiba namba mnaisoma nyie Ma UKIWA ambao mmebaki kujuta kwanini hmkumchagua JPM mling'ang'ana na Kilaza wenu bidhaa isiyouzika Kachungeni Ng'ombe huko na mtulie Rais aliwaambia yeye ni wetu wote na aliahidi kusafisha ndani na nje haijalishi ni CCM au Ukawa na ndio maana Mafisadi kama Kilaza...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Kilaza tu huna Sera kakamatwa babako au
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Hana mvuto kisiasa Hana mvuto kisura Anachosha Anakera Anapoteza muda Hana mvuto kisiasa
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni wadau

    Labda ya Kukwepa kodi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana (A GRAVE MISTAKE) kwa CCM kutofungia kampeni Dar

    Blind bugger is you guy ulitaka Mama Maria apigie debe UKAWA vyama vinne na bado hamtuwezi CCM TUMEJIPANGA
Back
Top Bottom