Recent content by Observer

  1. Observer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simbu ajinyakulia medali ya fedha Boston Marathon 2026 kwa kushika nafasi ya pili

    Mwanariadha nyota wa Tanzania Alphonce Simbu amefanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye mashindano ya Boston Marathon nchini Marekani Simbu alikimbia kwa muda wa masaa 2:02:47, nyuma ya mkenya John Koriri aliyetumia muda ea masaa 2:01:52, wakati Benson Kipruto alimaliza wa tatu kwa kutumia muda...
  2. Observer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAFCL Group Stage: Yanga yawekwa kundi moja na Al Ahly, Simba wapewa Esperance

    Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
  3. Observer

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Huu mgogoro sijui mwisho wake utakuwaje
  4. Observer

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  5. Observer

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Iran State Tv: Revolutionary Guards HQ in Tehran has been hit in Israel Strikes on Capital
  6. Observer

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran. Shirika la Habari la Tasnim la Iran...
  7. Observer

    JamiiForums Tanzania 2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

    Wanabodi, Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024. Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo...
  8. Observer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Lol Pole sana Yataisha tuu
  9. Observer

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Kuna wachezaji wawili wa Pazi walizama na kufa, sina uhakika kama ilikuwa ni Kigamboni Mmoja wako ninahisi alikuwa anaitwa Henry, alisoma SRSS Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
  10. Observer

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Sio kuna wachezaji wa Pazi walizama baharini? Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
  11. Observer

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Hii mada imenikumbusha mbali
  12. Observer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA Champions League Draw 2023/2024

    Arsenal mtakutana na wabaya wenu
  13. Observer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA Champions League Draw 2023/2024

    Draw ya Uefa Champions League inafanyika sasa kutoka jijini Monaco nchini Ufaransa Jiunge Nami kukuletea Draw hiyo Je chama lako litapangiwa na nani? Group A: Bayern Munich, Manchester United, FC Copenhagen, Galatasaray Group B: Sevilla, Arsenal, PSV, RC Lens Group C: Napoli, Real Madrid...
  14. Observer

    JamiiForums Tanzania TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

    Aisee, kamanda taratibu
Back
Top Bottom