tunakoelekea sasa ni kubaya zaidi,kamati hii iliyofutwa mbona hatujasikia kuwa na dosari yoyote,kuna kamati zina madudu kibao kama ile ya mrema,nishati na madini, elimu,uchumi na fedha hizi kamati zinamapungufu makubwa tu,lkn spika yuko kimya.sisi wananchi tuwaelewe vipi hawa watu jamani.ni wana...