uintrovert nauchukia, unamfanya mtu mambo mengi unakaa nayo rohoni. ila tumaini bado lipo, usipende kukaa mwenyewe Muda mwingi, penda kuimba, penda kusikiliza mziki wa taratibu usio na midundo, lia pale upatwapo na maswaibu, pia tafuta washauri wa saikolojia.
Mwisho Yesu ambaye ni tumaini letu...