Sometimes inaweza kuwa ni tatizo la exhaust. Peleka kwa Fundi wa exhaust tatizo lako litaisha.
Mafundi wanafanya kazi bila ha kuwa na uhakika na tatizo la gari yenyewe.
Pengine something is wrong. Haiwezekani wamelaunch simu mwezi umepita sasa halafu hakuna other information kama upatikanaji wake and price information.
I agree with you PgSoft2008
Even Dr. Montagnier (The noble prize winner and the discover of HIV Virus) agreed that he never managed to isolate HIV Virus. Reference: HIV & AIDS - Interview Luc Montagnier
Mkuu Mpangamji hiyo documentary nimeiangalia sana, ila nilisahau kuiambaanisha kwenye hiyo post ya mwanzo. Nakubaliana kwa asilimia kubwa sana na wewe kwamba huu ni mradi mkubwa kwa watu wenye pesa zao.
Ninatofautiana na wewe kwenye utumiaje wa hizi dawa. Kama umeangalia vizuri documentary ya...
Free World
Kama umenisoma vizuri sijasema kuwa UKIMWI haupo. Ninachouliza ni kweli kinasababishwa na HIV Virus? Kuna study zimefanyika kwa Mbwa wakakuta asilimia 50 ni HIV positive he na hilo unasemaje?
By the way vipimo vinavyotumika kupima HIV sio vya kweli. Kama wewe sio Daktari muulize...
Wanabodi,
Kwanza nikiri kuwa mimi sio Dacktari. Kuna debate inayoendelea kwa muda mrefu sana kuhusu kitu kinachosababisha AIDS. Kuna Wanasayansi wanaosema HIV Virus haisababishi AIDS na kuna wanaosema HIV Virus ndio kisababishi cha ugonjwa huu hatari.
Pia kuna debate pia kuwa AIDS haiambukizwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.