Recent content by obbie

  1. obbie

    Natafuta Network Specialist kwa ajili ya project

    Habari wana Jamii forum, Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye Networking hasa ambaye ameshafanya kazi au project ya ISP kwa hapa Tanzania, kuna mradi nataka kuuanzisha so kama kuna yeyote ambae ni mbobezi kwenye ISP business aje tuongee biashara. PM me...
  2. obbie

    Tatizo la AC kuacha kutoa ubaridi gari inapo changanya au kuna jua ukitembea kwa muda

    Mimi nilikua na tatizo kama lako kwenye chaser avante maarufu kama gx 100 ya chaser, tatizo hilo linachangiwa na vitu kadhaa ikiwepo condensor, compressor au fan/ fan guard! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. obbie

    Software Developers

    Biashara njoo whatsapp 0744044048
  4. obbie

    Software Developers

    Nahitaji software developer anayejielewa na kujitambua ili nifanye nae kazi ya kudesign software ya task management
  5. obbie

    Software developer anahitajika haraka

    Nahitaji software developer kwa ajili ya kutengeneza software ya task management For more details contact me on 0744044048
  6. obbie

    CRDB Is this stupidity or lack of caring?

    Daah yaani CRDB ni bureee kabisa aisee ni wa kuachana nao tuu, Mimi nlitoa hela kutoka kwenye M pesa katika ATM ya CRDB pesa hazikutoka kwenye mashine huku mpesa wakituma sms kuwa hela imeenda CRDB, sasa kuwasiliana nao wakajibu ndani ya saa 72 pesa itarudi ila sasa ni mwezi na hela hazijarudi...
  7. obbie

    Msaada please

    Please unaweza nisaidia iyo email?
  8. obbie

    Msaada please

    Aliyehack kafuta post zote I mean picha zote je naweza kuzipata pia nikifiata process izo?
  9. obbie

    Msaada please

    Habari za kazi wakuu, nilikua naomba kujua jinsi ya kurudisha account ya intagram iliyokuwa hacked kama inawezekana
  10. obbie

    Hizi taarifa za kuwekewa channel za Dstv kwenye ving'amuzi vya kawaida ni kweli?

    Kuna taarifa zipo kwenye mtandao wa kupatana watu wanasema wanaweka channel za dstv kwenye ving'amuzi vya hapa Kwetu mfano Azam, star times nk, Je, kuna ukweli kuhusu ilo? Maana inaonyesha jamaa wanataka walipwe kwanza
  11. obbie

    Web designer

    Habari za kazi wakuu, natafuta mtu wa kudesign website coz nmefanya design kwenye wix but nmeshindwa kuhost kwa hapa bongo... yaani Anayeweza kufanya hiyo kazi anicheki 0714 044 048
  12. obbie

    Msaada wa kuroot Samsung Mega

    Mbona cjaipata iyo framaroot... nipe link kaka
  13. obbie

    Msaada wa kuroot Samsung Mega

    Habari ya kazi wakuu... samahani naombeni maujuzi ya kuroot samsung mega yangu ili niwe super user
  14. obbie

    Msaada wa kuactivate Abu dhabi hd tv receiver

    habar za leo wakuu, nmekuja na tatizo langu moja nataka mtu wa kuactivate abu dhabi hd decoder yangu ilikua na one year subscriptions sasa imeisha yeyote anayeweza tuwasiliane 0714 044 048 obbie
  15. obbie

    Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

    Ilisolokobwe Sorry msaada wa cccam account 0714044048
Back
Top Bottom