Recent content by obadia_kabate

  1. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Sawa wewe mwerevu mwenye IQ ya 260.
  2. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Sawa, unge POST kwenya INBOX zao mkajadili. Sio sehemu sahihi ku post public ilihali unajipambanua uko na watu wachache mnaoweza kujadili nao. Ni hayo tu 🙏🏾.
  3. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Kwamba IQ yako ni kubwa mkuu?! Na hautaki kuamini baadae utakuja kuramba matapishi yako?! Muda utaongea na IMANI.
  4. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Unauzaje hii ww ukikufikia kwa gharama ya 16,000/= mpaka mkononi?
  5. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

    Comment mbovu zisikuvuruge kabisa, wa Tanzania unatujua tupo nyuma sana. Uwa tunaona mabaya kwenye kila kitu. Nilitegemea nitakutana na maswali positive, km kuomba kujifunza kwa kumuona mshkaji kabisa. Ikiwezekana hata kumuunga mkono na ameweka wazi kabisa warrant anatoa ya mwaka. Km una...
  6. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hakuna namna, tupo 😄😄.
  7. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Hoja fikirishi: Watanzania tufanyeje ili tuwe na vipato vikubwa?

    Tuwe wa kweli tu, tuache ku fake maisha. Kijana maisha anayoishi mtandaoni mpaka anawachanganya binadamu wenzie aise.
  8. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

    Haikuwa rahisi kuanza comment ya kwanza mmpaka hapa, poleni sana wahanga. "UKIITWA KWENYE FURSA, JUA WW NDIO FURSA" Tujifunze ku judge vitu vingine na kupekua pekua jamani. Watu wachache wanaweza kuifanya Forex ikaonekana chungu sana maishani mwa watu. Ila pia ni jukumu letu sisi kujinasua...
  9. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa faculty of Civil Engineering UDSM hawana faida kwa Taifa letu

    nadhani umemuelewa vibaya, amemaanisha nje ya facult hyo hapo UDSM.
  10. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Shukran sana mkuu Done
  11. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

    Hebu nitumie na mie kiongozi
  12. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Yajayo yanafurahisha, Jifunze hii taaluma itakusaidia

    Yeah, nashukuru nmeona. Nacheza nayo sasa hv. Wanaosema group zmejaa hazijajaa hzo.
  13. obadia_kabate

    JamiiForums Tanzania Yajayo yanafurahisha, Jifunze hii taaluma itakusaidia

    Mkuu nmefuata kila ulchoelekeza kwenye airdrop ila nadhan nahtaji maelekezo mengine ya msing zaidi. Nshaingia mpka kwenye group zao za telegram, nakwama sasa jinsi ya kuendelea baada ya kukamilsha hlo au ndio nacheza na link waliyonipatia tu huo kwa ajil ya kupata coins?
Back
Top Bottom