Recent content by nzorymussah

  1. nzorymussah

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    Dawa ya malaria nzuri sana ambayo inatumiwa kama prophylaxis kwa akina Mama wajawazito dhidi ya Malaria yaani INTERMITTENT PREVENTIVE THERAPHY OF MALARIA TO PREGNANTS WOMAN..... Tatizo lenu mnapenda kununua madawa huku mitaani kabla ya kuwaona madaktari, na tabia hii inawaathiri watu wengi...
  2. nzorymussah

    My quote of the day...

    BETRAYAL IS THE ONLY TRUTH THAT CAN STICK.... Nawatakieni jioni njema na sikukuu njema wana jamii forum
  3. nzorymussah

    Kupima mimba kwa damu na maji

    Ndio iko sawa kabisa...... KUNA KITU KINAITWA "UPT" yaani URINE FOR PREGNANCY TEST hapo unatumika mkojo na maji lakini yale ni maji maalumu... Huwa kuna hormones maalumu inayoitwa HUMAN CHORIONIC GONADOTROPHIN inaangaliwa ambayo Uwepo wake kwenye mkojo ni kiashiria cha mimba.... NB, kupima...
  4. nzorymussah

    Mussah Nzory

    Habari ya jioni wapendwa...... Ni matumaini yangu Hamjambo humu ndani, Mimi ninaitwa Nzory Mussa kutoka Tanga Tanzania... Nimeingia hapa kwa lengo la kutafuta MARAFIKI ambao tutakuwa tukishauriana mambo mbalimbali ya kimaisha na kusaidiana katika changamoto mbalimbali Nina miaka 23 Niko...
  5. nzorymussah

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Kwangu inanishinda ku install add on.... Naombeni msaada tafadhali
  6. nzorymussah

    SOMA UJUMBE HUU...... TUWATHAMINI MÂMÄ ZETU

    MOLA WASAIDIE WAKINA MÂMÄ WOTE DUNIANI.... WALIO TANGULIA MBELE YA HAKI, MOLA AWAPE MAKAZI MEMA HUKO WALIPO.... TUWAPENDE MÂMÄ ZETU [emoji8][emoji8][emoji8] [emoji264][emoji261]Mwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua...
Back
Top Bottom