*Tulipanda Usiku, tunavuna Mchana.*ila MATUNDA HAYAFANANI na MBEGU ZETU tulizootesha USIKU.
Ushoga, ulawiti, usagaji
Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa wanawake) hatukutafakari vyema.
Tulipoamua kuingia mtaani na kujipotosha juu ya haki sawa bila kujua...