Recent content by nzobeyaza

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    usipozifunga zile nondo ikatokea kuna nguvu, kani au force inayolazimisha kui-twist au kuinyonga ile lenta ni zege pekee yake ndiyo itatoa ukinzani kwa hiyo kani au nguvu msukumo kwa kuwa nondo hazijaunganishwa, hazina ushirikiano katika ktk hiyo aina ya force...kwa hiyo unakuwa huja-exploit...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    watu wengi mara nyingi wamekuwa wakichanganya lenta(lintel) na ring beam...lenta ni kipande kifupi tu kinachofungwa kwenye uwazi(openings) kama milango na madirisha, ring beam ni ile unafungu kuzunguka nyumba kwa kuzifuata kuta zote za nje na za ndani wengine huchagua kuta zinazobeba mzigo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    Sawa, ila hapa kuna shida...kuzifinga kuna faida nyingi, hapa hakuna torsion, shear resistance,
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mafundi ujenzi na wataalamu wote wa mambo ya ujenzi

    Peleka mtaalamu akalione eneo na msingi wa nyumba kabla hujaamua Mambo ya kusikia hayatakusaidia maana hata ushauri utaopewa hapa hautakuwa na uhalisia Kwa maana ya kujibu maswali yako.....kuimarisha msingi wakati nyumba imesimama hivyo hivyo inawezekana kwa underpinning Maneno kwamba nyumba...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

    O'Level ulipigia wapi kiongozi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tunaokumbuka ' Differential Equations na Integral ' tukutane hapa..

    Hizo nyanga nilipiga kwenye additional mathematics nikiwa o'level, musoma tech kabla ya kukutana nazo tena advanced level, pcm...mitaa ya mazengo technical school
Back
Top Bottom