Customs Processing fees na railway Development levy zipo tangu mwaka huu wa fedha yaani kuanzia Julai 2015 hadi June 2016 hivyo sio kodi mpya mkuu kilichofanyika kwenye calculator zilikuwa hazionekani ila baada ya kufanya maboresho kwenye calculator ndio sasa zinaoneka mkuu
Kwa maelezo ya ziada...
Reference Number
1415412147
Make:
NISSAN
Model:
X-TRAIL
Body Type:
SUV
Year of Manufacture:
2002
Fuel Type:
PETROL
Engine Capacity:
1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):
3114.00
Import Duty (USD):
778.50
Excise Duty (USD):
194.63
Excise Duty due to Age (USD):
1167.75...
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika.
Calculator ya sasa imerahisishwa kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kuitumia na ana pato kodi stahiki kwa...
Wadau TRA wameweka Calculator mpya kwa ajili ya ukadiliaji wa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini
Calculator hiyo ni rahisi kutumia na pia inakupa kodi kwa shilingi za kitanzania ingia kwenye website yao utaikuta
Niliwahi kuishi Ndala umenikumbusha mbali mkuu kulikuwa na kiduka cha mchaga mmoja anaitwa Baba Gadafi sijui bado yupo alikuwa anatupatia mahitaji madogomadogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.