Recent content by Nzimbwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Huyo hakutaki in feature atakutesa na utajuta, kufahamika kwako kwao hiyo ni danganya toto, nakushauri kaa mbali naye hakuna shetani hapo hata shetani anashangaa kwa kusingiziwa hivo the man his not for you. afu magonjwa ni mengi atakuuwa. tulia Mungu atakusaidia utapata mtu atakaye kupenda na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli alililidanganya Bunge..

    Kwani ww ukikemewa na baba yako umekosea ndo kigezo cha kumwambia co baba yako tena? mbona wako viongozi wengi wanavurunda lkn wanaendelea kubunya km kawaida. usiwe negative kiasi hicho atilist yeya amethubutu. mpe moyo badala ya kumvunja moyo
  3. N

    JamiiForums Tanzania wakuu nina laki tano naitaji hp laptop mpya

    ipo dell Insiron N4050, ram 2gb, processor 2gb, HDD 500gb, camera, wireless internet etc. used 5month, charge 4hrs... cal 0785026515, 0656009435
Back
Top Bottom