Recent content by nzikudaima

  1. N

    Msaada chanjo ya mtoto

    Nenda sekotule hosp au disp yoyote tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Mtoto wangu kakutwa na upungufu wa damu.

    Inawezekana akawa na fungus za mdomoni hebu mpe syrup nystatin mara mbili kwa siku tano ili tuone na matunda kama machungwa vile Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Tumia clotrimazole cream na tabs griseofulvin 500mg bid 1/12 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Jaman mungu anakuona kwahiyo aweke picha kweli??? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Mtoto anachemkaaa akipimwa hana malaria....

    Afanye full blood count tutapata majibu vizuri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

    Ungekuwa moshi ungeenda haidom hosp Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Ushauri juu ya hili.......MSAADA

    Tumia tabs primolut 10mg start then 5mg tds 5/7 plus caps ferotone 200mg bid 14/7 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Jicho la kushoto linaniuma

    Tumie dexaneomycin eye drops wakati unatafuta utaratibu wa kuonana na Dr wa macho kwa msaada zaidi kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Naomba kujua utaratibu wa kupata bima ya afya?

    Aliyetoa maelezo hapo juu yupo sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    Kuwashwa maeneo yanayozunguka haja kubwa baada ya kunyoa

    Ndiyo ni hizo machine Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Kuwashwa maeneo yanayozunguka haja kubwa baada ya kunyoa

    Bei ni 35000 mkuu ninauhakika hautoona shida tena Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    Kuwashwa maeneo yanayozunguka haja kubwa baada ya kunyoa

    Nakushauri tumia barbars machine,zile machine za kunyolea hakika hutosikia shida hiyo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    Kuwashwa maeneo yanayozunguka haja kubwa baada ya kunyoa

    Basi hiyo siyo infection wala nni ,ukinyoa na wembe lazima kutokwa na viupele sehemu ambayo nywele ziliota Na zikishaota hakuna tena miwasho Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    Mtoto amefia tumboni akiwa na miezi saba, je haya maelezo niliyo pewa hospital ni sahihi na ni bora kwa afya!?

    Mkuu mimj ni moja ya medical practioner ndiyo maaba nakwambia nenda hosp kitolewe kiumbe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom