Naomba kujua utaratibu wa kupata bima ya afya?


morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
1,230
Likes
993
Points
280
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
1,230 993 280
HabariI wanajamvi naombenI kujua utaratibu wa kupata bima ya afya kwa ambae sio muajiriwa

asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,153
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,153 280
Nenda NHIF zipo packages tofauti kuanzia za watoto n.k ambazo unalipia kwa mwaka kama niko na kumbukumbu nzuri au kama unachangia mifuko ya hifadhi za jamii hata kama sio mwajiriwa unaweza kupata huduma ya bima ya afya.
 

Forum statistics

Threads 1,262,389
Members 485,568
Posts 30,121,769