Mtoto amefia tumboni akiwa na miezi saba, je haya maelezo niliyo pewa hospital ni sahihi na ni bora kwa afya!?

khaligraph

khaligraph

JF-Expert Member
Nov 19, 2016
568
500
Achana na story za humu. Watu wanaongea wengi wao sio professionals. .

Mtoto akifia tumboni anaweza kaa tumbon had wiki 2 bila kusababisha tatizo lolote kwa mama.
Kama uchungu hautanza wenyewe in 2 weeks ndipo wanaanzisha dawa za uchungu. Lkn, sometimes hua inaleta psychological issues kwa mama, so, wataalam wengne hua wana opt kuanzisha uchungu right away lkn sio swala la dharura ikiwa ndan ya siku 14

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khaligraph

khaligraph

JF-Expert Member
Nov 19, 2016
568
500
Aisee mpaka nimesisimkwa na mwili wote, ndugu yangu kwa kifupi rudini hospital kiumbe kikatolewe.
Nilichoshuhudia mwaka jana kupoteza mtu kwa ushaur kama uliopewa nimetokea kuogopa hata kumuangalia mjamzito wa aina yoyote.
Nenda hospital kubwa zaid huyo dada akasaidiwe hicho kiumbe kitoke, msikubali kusubir siku 14(sina uhakika kama kitaalam ni sahihi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Watalaam wamemwambia n sahihi then wewe ambae sio mtalaam umasema sio sahihi...wabongo achen kuingilia taalum za wa2...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
456
500
Ndo utaratibu ulivyo.
Kila kitu kina umuhimu wake, siku 14 zijipita kama ilishindikana ataenda hosp, then utaratibu wa kuzalisha utaanza, ukishindikana utaenda utaratibu mwingine.
Sasa unaporuka step moja, shida ikitokea ama ikishindikana next step ni way forward na ni more aggresive than previous.
Thats all I have to say.
Ahsante sana,
Lakini mtoto ndio mfu tayar, je ikatokea siku 14 zimeisha haita tokea kuoza!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khaligraph

khaligraph

JF-Expert Member
Nov 19, 2016
568
500
Brother! Humu wengi wanakupa stress, wengi wanabwabwaja bila ufaham wowote wa mambo ya afya.
Trust me! Hayo maelezo ulopewa apo hospital tako sahihi..just chillup and wait!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,077
2,000
Aise pole sana mimi nazijua kesi mbili ambazo na wahusika nawajua
Moja iliishia vibaya sana
Mmoja alipata ujauzito wa kwanza na hakujua kuwa Mtoto amefariki mpaka baada ya muda na miezi ilikuwa imeenda
Lakini bahati alisafishwa ingawa hakujaaliwa kupata mtoto tena

Mwangine ni kama unavyoogopa
Huyo mtoto wake aliozea tumboni na kusababaisha akatwe miguu miwili na mkono kwani ilikuwa imeharibika sana na kuoza
Mungu mkubwa wote bado wako hai
Ila ndio hivyo tena
Mpeleke private akasafishwe achana na gov hospital kama wanazingua

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
4,544
2,000
Hospital makini ikitokea hivyo mama huwekewa kidonge cha uchungu chini kisha kuambiwa afanye mazoezi ya kupanda ngazi na kutembea ili uchungu uje, dalili za uchungu zikianza anawajulisha kisha njia ikifunguka wanamwingiza leba kiumbe kinatolewa mara moja!
Hayo mambo ya kumwambia mama ambae ameshakuwa disappointed eti nenda kasubiri hadi siku 14 haingii alikini kabisa !
So what?
Anyway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jemedal_bin_chichi

Jemedal_bin_chichi

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
456
500
Achana na story za humu. Watu wanaongea wengi wao sio professionals. .

Mtoto akifia tumboni anaweza kaa tumbon had wiki 2 bila kusababisha tatizo lolote kwa mama.
Kama uchungu hautanza wenyewe in 2 weeks ndipo wanaanzisha dawa za uchungu. Lkn, sometimes hua inaleta psychological issues kwa mama, so, wataalam wengne hua wana opt kuanzisha uchungu right away lkn sio swala la dharura ikiwa ndan ya siku 14

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani shukrani shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,056
2,000
Toa ujinga wako hapa,nimesema sio sahihi? Nishaweka angalizo kuwa ''sina uhakika kitaalamu kuwa ni sahihi'' na nikaeleza niliyoyaona kwa ushauri wa namna hiyo wewe unakuja na hekaya zako za ''wabongo''
Taaluma gani unaongelea bongo? Angalizo ni muhimu kuliko hicho unachokiita ''taaluma za watu''
Watalaam wamemwambia n sahihi then wewe ambae sio mtalaam umasema sio sahihi...wabongo achen kuingilia taalum za wa2...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
3,823
2,000
uchungu kuanza wenyewe inawezekana kwasababu kwa sasa hiko kiumbe mwili unatambua kama uchafu tu unaotakiwa kutoka nje(ila huo muda unaweza kuathiri pschology ya mama), ingekua vyema kama wanganzisha uchungu ili kumpunguzia mama matatizo ambayo yanaweza kutokea kama kichanga kitaharibika kabla uchungu haujaanza pia ingasaidia kumpunguzia mama maumivu ya kufahamu kuwa anaishi na kiumbe mfu tumboni mwake.
 
khaligraph

khaligraph

JF-Expert Member
Nov 19, 2016
568
500
Toa ujinga wako hapa,nimesema sio sahihi? Nishaweka angalizo kuwa ''sina uhakika kitaalamu kuwa ni sahihi'' na nikaeleza niliyoyaona kwa ushauri wa namna hiyo wewe unakuja na hekaya zako za ''wabongo''
Taaluma gani unaongelea bongo? Angalizo ni muhimu kuliko hicho unachokiita ''taaluma za watu''

Sent using Jamii Forums mobile app
Asa angalia...akili zako umesahau wap bro??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
5,892
2,000
Usikute kuna Watu wenye Mamlaka Wizara ya Afya wanafungua Uzi wanafunga na kwenda Jukwaa lingine....

Ningekua nna Mamlaka ningehakikisha namtumbua huyu Doctor/Nesi aliyetoa Maelekezo tajwa hapo juu!

Wameua watu wengi bila kujari kuwa Mishahara yao inatokana na Kodi za wakiwemo Wajawazito na Wagonjwa.....

Shenzi zao wenye Mamlaka!
Vipi waliookolewa maisha yao je??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,056
2,000
Soma vizur, wewe unaongelea minadharia yako unayoita profession, mimi nazungumzia experience.
Kama huyo dada angekuwa hospital kwenye uangalizi wa madaktar tungeona sahihi na tusingemshauri arudi hospital.
Nishasema siku 14(sina uhakika kitaalamu ni sahihi), ungekuja na kusema ni sahihi katika muktadha upi ungeeleweka, ila kututushia ''taaluma'' hatukuelewi kwani wengine yametukuta kwa kutegemea kinachoitwa ''taaluma za watu''
Asa angalia...akili zako umesahau wap bro??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
bbade

bbade

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
6,673
2,000
Poleni sana...

Maelezo aliyopewa yanalingana na jinsi gani vipimo vya huyo shemeji yako vinasemaje....watu wanatofautiana sana.

Kuna wengine wanapata stillbrith wakiwa na matatizo mengine ya kiafya na hivyo kufanyiwa mtibabu tofauti na wengine.

Inapaswa shemeji yako awe anachunguzwa kila baada ya masaa 48 na sio kusema aende nyumbani hizo siku 14 asirudi hospitali mpaka apate uchungu.

Hii itasaidia kutambua kama kutakuwa na maambukizi yoyote kwa mama na pia kuweza kujua afya ya akili ya mama.

Kwa wale ambao wangependa kufanya uchunguzi wa kujua sababu ya mtoto kufa , basi itabidi atolewe mapema ili asiharibike sana , uchunguzi ukashindwa kubaini sababu ya kifo...kwa manufaa ya kuzuia vifo vingine mbeleni.
 
Charles Dotter

Charles Dotter

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,203

Mkuu mimj ni moja ya medical practioner ndiyo maaba nakwambia nenda hosp kitolewe kiumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nikumbuke maumivu ya kumpoteza dada yangu sababu ya mtoto kufia tumboni

Mkuu Fanya hima nenda Hosp zinazoeleweka vinginevyo yasije wakuta yaliyotukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise pole sana mimi nazijua kesi mbili ambazo na wahusika nawajua
Moja iliishia vibaya sana
Mmoja alipata ujauzito wa kwanza na hakujua kuwa Mtoto amefariki mpaka baada ya muda na miezi ilikuwa imeenda
Lakini bahati alisafishwa ingawa hakujaaliwa kupata mtoto tena

Mwangine ni kama unavyoogopa
Huyo mtoto wake aliozea tumboni na kusababaisha akatwe miguu miwili na mkono kwani ilikuwa imeharibika sana na kuoza
Mungu mkubwa wote bado wako hai
Ila ndio hivyo tena
Mpeleke private akasafishwe achana na gov hospital kama wanazingua

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hospital makini ikitokea hivyo mama huwekewa kidonge cha uchungu chini kisha kuambiwa afanye mazoezi ya kupanda ngazi na kutembea ili uchungu uje, dalili za uchungu zikianza anawajulisha kisha njia ikifunguka wanamwingiza leba kiumbe kinatolewa mara moja!
Hayo mambo ya kumwambia mama ambae ameshakuwa disappointed eti nenda kasubiri hadi siku 14 haingii alikini kabisa !
So what?
Anyway

Sent using Jamii Forums mobile app

Fetal death in utero does not present an immediate health risk to the woman, and labour will usually begin spontaneously after two weeks, so the woman may choose to wait and bear the fetal remains vaginally.

After two weeks, the woman is at risk of developing blood clotting problems, and labor induction is recommended at this point.

In many cases, the woman will find the idea of carrying the dead fetus traumatizing and will elect to have labor induced.

Caesarean birth is not recommended unless complications develop during vaginal birth. How the diagnosis of stillbirth is communicated by healthcare workers may have a long-lasting and deep impact on parents.

Women need to heal physically after a stillbirth just as they do emotionally. In Ireland women are offered a 'cuddle cot', a cooled cot which allows them to spend a number of days with the child before burial or cremation.
 
bbade

bbade

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
6,673
2,000
Ireland women
Shukrani....imejielezea vizuri.
Nina mashaka kama ni utaratibu ulioko Tanzania, maana ukifuatilia maelezo yamtoa mada...Shemeji yake hakupewa nafasi ya KUCHAGUA njia iliyo rahisi kwake kukabiliana na tatizo lililomtokea.
 
Top Bottom