Kuwashwa maeneo yanayozunguka haja kubwa baada ya kunyoa

Y

yusuphu lubuva

Member
Jun 27, 2018
41
95
Habari za mda huu ndugu zangu.

Bila kupoteza mda naomba niende moja kwa moja kwenye maada, ni hivi wiki tatu zimepita nilinyoa zile nywele zinazozunguka haja kubwa as a matter of hygiene, naomba nisieleweke vibaya kama wengi wasemavyo ni ushoga, kilichinifanya Kuja kwenu ni kuwepo kwa muwasho flani hivi kama mtekenyo maeneo yanayozunguka haja maana situation hii Mara nyingi hutokeo usiku pale nianzapo kulala

Nimejaribu kuvumilia naona Sasa naelekea kushindwa maana akili yangu inajua labda inatokana na nywele kuanza kuota.
Hivyo basi kama nijuavyo humu kuna wataalam mbali ikiwemo doctors, nurses specialist nk naombeni msaada wa kitabibu na ushauri ili niweze kuondokana na tatizo hili
Ni matumaini yangu mtaweza kunisaidia
Nawapenda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,581
2,000
Maybe
Fungal infection..minyoo... N.k..anyway me sio mtaalam wa afya natumain utapata majibuHahahahhahaha hahahah Ila thread yako inachekesha sana.nimeamua nicheke huku mwishoni
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
5,736
2,000
pole sana mkuu ngoja waje wataalam. NB: waswahili wanasema Ukiona mtu anafanya usafi nyumbani kwake jua kuna ugeni.
hahahahahahahahaha phala sana , subiri OP aje akutupie povu murua kabisa
 
N

nzikudaima

Senior Member
May 27, 2017
182
225
Basi hiyo siyo infection wala nni ,ukinyoa na wembe lazima kutokwa na viupele sehemu ambayo nywele ziliota
Na zikishaota hakuna tena miwasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
donga

donga

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
1,204
2,000
ukijikata si unajua kuna linda uko
 
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,655
2,000
Leta nione Mimi Nina dawa
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
8,736
2,000
Praise be to Allaah.

We put this question to Shaykh Muhammad ibn Saalih al-Uthaymeen, may Allaah preserve him, who answered as follows:

In the Name of Allaah, Most Gracious, Most Merciful. Praise be to Allaah, the Lord of the Worlds. This is not part of the Sunan al-Fitrah, but if there are too many hairs then they should be removed, so that they do not get contaminated with any impurity when using the toilet.

There are reports in the Sunnah of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) which indicate that the pubic hairs should be removed, as it was reported that the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: The fitrah consists of five things, one of which is removing the pubic hairs. (Reported by al-Bukhaari).

The Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) also set a time limit of forty days, and the hair should be left any longer than that,because of the hadeeth of Anas ibn Maalik (may Allaah be pleased with him), who said: He set us a time limit of no more than forty days for trimming the moustache, clipping the nails, plucking the armpit hairs and shaving the pubic hair. (Reported by al-Bukhaari, 10/284 and Muslim, 1/222).

The fuqaha discussed the proper etiquette of removing the pubic hair and said that it is mustahabb to start shaving the pubic hair from beneath the navel, and to start on the right hand side, and one should also be concealed from the sight of others when doing this. One should also bury and hair or nail clippings removed.

The reasons behind removing this dirty hair could also be applied to the hair on the testicles and around the anus, if impurity (najaasah) gets attached to it, because the purpose it to be comepletly clean and pure and keep away from anything that may cause dirt and impurities to cling to the body. In this case, removing this hair is a good thing. With the regard to women, the rulings on removing the pubic hair are the same as the rulings for men. And Allaah knows best.

For more info
Source : How do you remove hair from around your anus
والعانة الشعر القريب من فرج الرجل والمرأة ومثلها شعر الدبر بل هو أولى بالإزالة لئلا يتعلق به شيء من الخارج عند الاستنجاء بالحجر (الشامية 2/481)
 
Top Bottom