Rais akisema Tanzana hakuna corona, yuko sahihi. Huyu rais akifa leo, kesho akaapishwa mwingine halafu akadema Tanzania kuna carona, yuko sahihi. Akili hizi ni kiwango cha ccm tu.
Taasisi tofauti tofauti zimeundwa kwa sheria tofauti. Utakuta taasisi hii mtendaji mkuu wake anateuliwa na waziri...
Wana uhuru kumkataa, ila hakuna haja ya kufanya hivo ktk hatua hii kwavile mahakama ya simba haina uwezo wa kusikiliza shauri hili. Pale shauri limepita tuu kiutaratibu, hatimaye litapelekwa mahakama kuu.
Waambie alikufa, alishaoza, alishasahauliwa na sasa tunarekebisha uchumi, tunarudisha mahusiano kimataifa, umoja wa taifa na tunapambana na covid-19 kisayansi kulingana na protocol zaWHO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.