Recent content by Nzige Mnandi

  1. Nzige Mnandi

    Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

    YOU CANT CONTROL THE DIRECTION OF THE CAR. ndo manna take msikani mbovu, punguza jazba na were
  2. Nzige Mnandi

    Hili ndilo 'dongo' kutoka kwa Zitto Kabwe kwenda kwa Makonda

    Mkuu yuko bize na Scorpion jaman, tulien basi mambo mazuri hayataki haraka
  3. Nzige Mnandi

    Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

    Hakusema Gari bovu lakin Jaman, AMESEMA KAMA GARI AMBALO HALINA MSIKANI, kuna tofauti kubwa sana hapo. Tafakarini.
  4. Nzige Mnandi

    Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Hivi kumbe kweli tulinyimwa zile hela zaMCC, mbona wengine tulisikia eti tulipewa jaman au ndo huo UCHUMI WA MWENDOKASI.
  5. Nzige Mnandi

    Wazo Langu kwa Meya wa Kinondoni. Mh Jacob

    Mh Jacob. Sisi wakazi wa kinondon tunahitaji sana ule Mradi wa takataka maana tumechoka na kuona tunayoyaona huku mtaani, Wazo langu binafsi atuitishe Harambee tuchangie ile VAT aache Ugomvi na serekali, sisi wananchi tutailipia, tushalipa kodi ngapi tushindwe hii? UMOJA NI NGUVU. Hakuna jambo...
  6. Nzige Mnandi

    Nahitaji mkopo wa 300m, benki gani itanipatia?

    hahahaha Pole sana kaka, nisamehe bure. Nataman waliozificha wazitoe.
  7. Nzige Mnandi

    Nahitaji mkopo wa 300m, benki gani itanipatia?

    Si CRDB pekee ndo wenye matatizo hayo hayo au ndo mpka kwingine jaman. mbona hawatangazi
  8. Nzige Mnandi

    Nahitaji mkopo wa 300m, benki gani itanipatia?

    Jaman nina sida na mkopo wa 300m. Benk gani wanaweza kunipatia kwa muda mfupi ni boost mradi wangu Jaman.
  9. Nzige Mnandi

    TCU na NACTE kuna vijipu bado vina usaha. Leo ta19/08/2016

    Week ya pili hii tangazo liko hivyo hivyo alafu Deadline tar31/08 ngoja vilaza tuendelee kusubiri tu. haya jaribu kupiga hizo namba kwa msaada sasa ukipata yoyote niambie nikutumie vocha
  10. Nzige Mnandi

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    mimi nina swazi hili, Jamaa ameoa mke wake wakapata mtoto mmoja mwanamke akaanza tabia za kihuni, kafumaniwa mara tatu jamaa akaomba talaka yake, huyu mwanamke anapewaje haki ya kubaki na mtoto wa miak miwili wakati yeye ni mzinifu atamfundisha maadili gani? hembu nisaidie hapo, mf: kesi ya...
  11. Nzige Mnandi

    Talaka zimefika 230,755 kuna jambo la kujifunza ?

    MUNGU ATUHURUMIE SANA AISEE, NDO SIKU ZENYEWE ZIMEFIKA AMBAZO MANABII WALITABIRI 2TIMOTHEO 3:1-6
  12. Nzige Mnandi

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Pole yao, ila wapo walioonewa na wapo watuhumiwa kweli.
  13. Nzige Mnandi

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Umetumwa wewe, we mwenyewe umepewa rushwa kuandika hili kama sio kuahidiwa kiongoz wa kijiji. Dhamira yako ikusute, tena ufe kabla ya uchaguz kwa kusema uongo na uchonganishi.
Back
Top Bottom