Changamoto za ofisi yoyote na si za serikali tu ni jambo la kiofisi, linatatuliwa na wenye dhamana ya ofisi na si jumuiya. Wananchi ni haki yetu kutoa malalamiko ya changamoto tunazopitia ili wahusika wapate taarifa na waangalie uwezekano wa kutatua lakini si sawa kwa ofisi kuweka kwenye jamii...
Hata kama maadili yangekuwa yanaruhusu kuweka mambo ya ndani ya kiserikali kwenye mitandao ya kijamii halafu na mm nikawa kwenye nafasi ya kuyaweka nisingefanya hivyo.
Hakuna anayelazimisha, hizo ni nadharia tu. Sababu ya kulazimika kutumia mfumo huu pamoja na changamoto zipo na ni za msingi. Changamoto zinaboreshwa kila wakati, hata hili litaboreshwa siku moja ila kwa sasa tusivunje sheria kwa kisingizio ambacho hata ushahidi uliokamilika haupo. Kama kuna...
Kukwepa kodi kwa kisingizio cha mfumo ni kukosa kuipenda nchi yako. Serikali ina mapungufu mengi, ni vizuri kutokutumia hayo mapungufu kufanya uhalifu. Kukwepa kodi ni uhalifu. Mapungufu yanafanyiwa kazi kila siku..
Lisu ndo hatari maana akipata hata wafuasi m3 halafu akataa matokeo wakaamua kuingia barabarani tayari ni tatizo. Mgombea anayehitajika ni yule ambaye atasema nimeibiwa kura ila tulieni.
Kama si mchumba official anayejulikana kwa wazazi wa pande zote mbili basi Mtu mzima mwenye busara ni pesa. Kama huyo anashindwa basi hakuna atakayeweza. Kama huna access ya huyo pole.
Ww unataka mfumo wa kulipa ndo ubadilishwe au mfumo wa utoaji risiti na utunzaji kumbukumbu za serikali
Bank haitumii mfumo wa android kutunza kumbukumbu zao boss. Machine ya Efd si ya kutuma pesa, ni ya kutoa risiti na kutunza kumbukumbu. Mada imesugest tutumie android kutoa risiti si ndio...
Sijui sana mkuu, ila nachoelewa ni kuwa inahitaji kuwa smart kuweka mfumo wa kukusanya mapato ya nchi kwenye simu, na pia lile limachine la Efd si gharama ila kuna sababu ya kuwa ghali, nahisi ni mfumo na management ya software wakati wa installation
Yes ila bank ukifanya kosa ukaibiwa pesa yako hilo si jukumu lao ni lako.
Imagine mfumo wa android ni wa dunia nzima na control yake ni ndogo sana TZ. Sasa uutumie kukusanya mapato ya nchi yako halafu wanaijeria, waisrael, wahindi, waarabu woote hao wana utundu wa kucheza na android software...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.