Recent content by Nzi Chuma

  1. Nzi Chuma

    Je wewe ni mwajiri, tangaza ajira yako nasi hapa BURE

    Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako.. Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account yako ya mwajiri na kuwaita kwenye interview moja kwa moja kwenye mfumo. Jisajili as employer na...
  2. Nzi Chuma

    Kitabu bora cha Mathematics O-level

    Tsh 25000
  3. Nzi Chuma

    Kitabu bora cha Mathematics O-level

    Ndio mkuu
  4. Nzi Chuma

    Kitabu bora cha Mathematics O-level

    1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4 2. 29 Chapters, 505 pages, full colour. 3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake. 4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100 5. Kuna mitihani 10 ya samples 6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
  5. Nzi Chuma

    Course ya broadcast Technology inapatikana chuo gani?

    UDOM-BSc in Digital Content and Broadcasting Engineering
  6. Nzi Chuma

    Simulizi ya kweli: Mpaka kieleweke

    Story: Mpaka Kieleweke SEHEMU YA 17 pamoja na kupata maumivu makali sana, nilivumilia na kusimama haraka kujaribu kukabiliana na huyo ambae amenisukuma!.. lakini kadri cheko zile zilivyokuja karibu yangu niligundua kuwa walikuwa zaidi ya mmoja, nikawa narudi nyuma kujaribu kuwaepuka lakini...
  7. Nzi Chuma

    Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

    Imekauaje ameenda kufumania akiwa hana plan?
  8. Nzi Chuma

    Mimi huwa sina urafiki na mwanamke, ukiingia kwenye rada zangu lazima nikuombe!

    Kwanza urafiki na demu wa nini wakati wanaume wenzio wapo?
  9. Nzi Chuma

    Tusemezane jambo wadau

    Hawa single maza kama unaoa, uoe kwa tahadhari, mimi nilijaribu, nikapigwa tukio moja hiloo.. nilitoa talaka kwenye simu. SITORUDIA
  10. Nzi Chuma

    Ushauri: Sijaonana na mwanangu miaka mingi baada ya kugombana na mamake, naenda kumuona Aprili

    Wewe unafikiri wanataka huduma? Kuna kipindi wanachotaka ni ukae mbali na mwanawe tu.. hataki kingine chochote
Back
Top Bottom