Recent content by NZALAMALENGA

  1. NZALAMALENGA

    Steven Wassira arudisha fomu za Urais

    Yupo vizuri,pia nasikia hadi sasa ndiye mtia nia pekee aliye kwenda nchi nzima kwa gari.
  2. NZALAMALENGA

    Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Mbona hii haujaiweka? Acha wepesi wa hoja..... Wasira hanatatizo.
  3. NZALAMALENGA

    Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Ataijaza na atapigiwa kura nyingi sana na Watanzania tulio wengi.
  4. NZALAMALENGA

    Ujio wa Rais Nyusi Bungeni, Mkuu wa Itifaki ana matatizo

    Kama umetazama vema utaona ishu sio hilo kapeti lefu la hasha. Tatizo hapo ni viti vimesogezwa sana mbele maana nyuma kuna kapeti limeachwa ambalo lilikuwa mahsusi kwa dhana yako.
  5. NZALAMALENGA

    Gari la Leonce Marto (Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa) lachomwa moto

    Wewe unaweredi gani? Acha kutoka povu hapa.
  6. NZALAMALENGA

    Gari la Leonce Marto (Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa) lachomwa moto

    Mbona KICHWA CHA HABARI KINAMTAJA MTU TOFAUTI na hiyo habari? M/kit wa Mkoa au Taifa? Eleweka au ndio buku saba ufipa.com?
  7. NZALAMALENGA

    Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

    Kwani kabla ya huyo wa upinzani maji yalikuwepo? Na je kama yalikuwepo baada ya mbunge wako waling'oa miundombinu? Acha umbea@ONLY IN TZ
  8. NZALAMALENGA

    Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

    Picha subiri za photoshop.... Maana habari yenyewe ni uongo.
  9. NZALAMALENGA

    Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

    Hizo picha sio halisi kwa yeyote anae weza kutazama na ktambua picha.
  10. NZALAMALENGA

    Sheria hii ya Utumishi wa Umma ifanyiwe marekebisho katika Bunge lijalo

    Uwezo wako kumbe ni mdogo kiasi hicho? Nani kwa kwambia TUCTA ni chama cha wafanyakazi? Kajipange wenyesheria tupo kimya maana yake tumeielewa.
  11. NZALAMALENGA

    Zitto awajibu CHADEMA juu ya fedha za ziara za ACT- Wazalendo mikoani

    Mimi huwa nachangia kwa njia ya m-pesa na inakatwa kodi,,,,unadhani kama mavyama mengine yanayopitisha bakuli mkutanoni?
  12. NZALAMALENGA

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Kwani unadhani ni Waziri gani ambaye huwa hatekelezi aliyo yakuta yameachwa na mwenzie? Na je unadhani hilo ni NJE ya majukumu yake ili tusimpe hongera? Na je unadhani hapa tume mpa hongera au tumempamba? Na je nikikwamboa wewe UNAWIVU utakataaa?
Back
Top Bottom