Recent content by nywelemoja

  1. nywelemoja

    Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

    UYU wa KWANZA yupo casual Sana,Hana uislam ndo mana anaishi huru France,wa pili ana udini na uislam Sana ,that's why vikwazo vimekuwa vingi
  2. nywelemoja

    Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

    WENGINE ndo hao ,wanajifanya wanajua uongozi,mwisho wa siku wanaingiza nchi kwenye mgao
  3. nywelemoja

    Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

    Uwezi kuilaani israel.ailaanie islaeli amelaaniwa,BIblia inasema ibarikini israel
  4. nywelemoja

    Mimi ni mwenyeji humu

    Najua unajua English na language zote duniani....kindly ungetumia lugha nzuri na sio matusi....mimi ni 'ke'...BRO UMEPANIC KHAA UNGETUMIA LUGHA NZURI UNGEPUNGUKIWA NINI?
  5. nywelemoja

    MSAADA: Mzigo kusafirishwa kutoka Ali Express

    Thanks so much ,NASHUKURU[emoji120]
  6. nywelemoja

    Mimi ni mwenyeji humu

    Nimeamua tu,kwani Kuna ubaya jaman....
  7. nywelemoja

    MSAADA: Mzigo kusafirishwa kutoka Ali Express

    Za asubuhi, naombeni mwongozo kidogo. Nimenunua mzigo wangu toka Ali express ila sielewi, ikiwa hivi ndo inakuwaje? Mzigo umefika ama niendelee kusubiri?
  8. nywelemoja

    Mimi ni mwenyeji humu

    WASALAAM,MIMI NI MEMBER WA UMU SEMA ACCOUNT YANGU ILIZIMA....
Back
Top Bottom