Yani humu jf Kuna wanaumr waovyo Sana ,kuweni makini....Kuna wanaume wasio kuwa naakili,na wenye akili....waongo,wachawi,Malaya,wenyekupoteza mda,deiwaka etc be careful girls
Kosa ni la wazazi malezi mabovu ....Leo limetokea hili unauwa mtoto...,watoto wanapaswa kuandaliwa mapema katika maisha na njia iliyo nyooka Leo na kesho mzazi ASIJE aibika ......
Umesema upo Kijiji gani.sikutakii mabaya good luck to all your wishes,but chunga walimwengu,hata kama u kifanya for good intention na utaki ubaya na mtu ,bado walimwengu watakuloga jaman wasema wewe unaringa....
Aseee mbaya na ubaya ukila block ....sipendi mtu aniblock wa kwanza Bora Mimi ni we wa kwanza kunublock....nyambafu kabisa uyo mwanaume alikuwa tu anakuvutia mda...useless man
Inawezekana mdogo wako rama hajua husu izo tabia za rafikiye....ala basi Cha MSINGI ,kaaa na uyo mdogo wako rama umwambie kinachoendelea na umchunguze inawezekana wanajuana ...na umkanye aachane naye kabisa....
Akili za rangi zote zaku ,organise , setting ,planning, formalizing,arranging,reasoning,summarizing,focusing,interpreting, analysing,....ongeza za kwako +ing.....[emoji16][emoji16]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.