Recent content by nyuni Jr

  1. nyuni Jr

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

    Kwa kwelii kabisa, wanaume wenzangu wa Dar mmezidisha sana ubwenyenye. Eeet mpaka mua mnakamuliwa this too much?
  2. nyuni Jr

    JamiiForums Tanzania Endeleeni kutafuta nguvu za kiume

    Unaweza kuwa na machine kubwa alafu inakuwa aina nguvu, tatizo naona lipo kwenye nguvu za kiume na sio ukubwa wa muhogo, au nimekosea wakuu?
  3. nyuni Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

    Niambie project 3 tu ambazo MH, mtukufu Raisi wangu Ameziazisha yeye mwenyewe ambazo zimesha kamilika mpaka sasaivi. This is Tanzania. Idiol tupo wengi sana. !
  4. nyuni Jr

    JamiiForums Tanzania Kuweka private whatsup dp ni ubinasfi wa kishamba

    pole sana mkuu, ila ukiona hivyo ujue umeshamwagwa aina haja ya kulalamika sana Kijana, Jaribu kusoma alama za nyakati mkuu.
  5. nyuni Jr

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtihani mkubwa sana kwa wanaume wenye wake wa ndoa

    Bora wewe umesema UKWELI, wanawake mnatupa mzigo mkubwa sana wa kulea watoto ambao Sio wetu kwa kigezo tu Eti Kitanda hakizai haramu.
  6. nyuni Jr

    JamiiForums Tanzania Tusiwatese na kuwaonea wanawake kiasi hiki

    WITO Kwa wanaume wenzangu, tusiwageuze wanawake kama punching bag, kwa kumaliza hasira zetu. Wanawake ndio mama zetu tuwapendeni.
  7. nyuni Jr

    JamiiForums Tanzania Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Wanaosema SUGU ametoka kwa msamaha, itakuwa ni wale wavaa vitenge vya kijani tu, kwa wavaa gwanda awawezi kuongea uwo upuuzi.
Back
Top Bottom