Recent content by nyungu ya mawe 16

  1. nyungu ya mawe 16

    JamiiForums Tanzania Nimewaonya sana juu ya matumizi ya pombe!

    Huko ni kutafuta ugomvi na walevi! Kama Pesa yao acha kuwabugudhi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. nyungu ya mawe 16

    JamiiForums Tanzania Spika kumwita CAG kuhojiwa na Kamati ya Bunge: Nimeikumbuka kesi ya Hayati Mtikila na Mzee Mrema

    Sawa sawa Mkuu upo sahihi kabisa... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nyungu ya mawe 16

    JamiiForums Tanzania Looking for a wife

    Mziguo wale wa T.A
  4. nyungu ya mawe 16

    JamiiForums Tanzania Looking for a wife

    Sijali elimu wala age, kikubwa awe machakarikaj mwenye mawazo chanya anayejua kujituma, ajue kuna kupata na kukosa. Ila tu asiwe mzingua
  5. nyungu ya mawe 16

    JamiiForums Tanzania Mpe ushauri anaeenda kujaribu kuvaa viatu vilivyokushinda

    Loh awe makini na simu ya ex wangu, mi nkiulizanga kwann anachat usiku anasema anacheza game LA nyoka wakat naskia msg zikiingia
  6. nyungu ya mawe 16

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Fanya mazoezi ya viungo Mara 2 kwa siku, jogging au ruka kamba, acha kuangalia video chafu za ngono au vishawishi. Hope utafanikiwa. Hiyo kitu ina madhara makubwa sana
Back
Top Bottom