Recent content by nyundo j

  1. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    Kwa kweli Tz inahitaji jeshi la polisi lenye muundo mpya ambalo viongozi wake hawakusoma katiba ya chama kimoja walipokuwa shule.
  2. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Duuh hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Maana ya k katika viwango vya fedha

    Ngoja waje wataalam wa mambo ya k
  4. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Lumumba wamepigwa ganzi mpaka sasa wako kimya

    Hapa hawawezi jibu hata siku moja
  5. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

    Duuh
  6. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Kweli kabisa pengo akimsifia Just Praise Me hawasemi kwamba anachanganya dini na siasa.
  7. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Tutajie viongozi wa dini ambao ni ccm ili nao wajulikane.
  8. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Mbona wakisifia serikali hatusemi waache dini waanzishe vyama?
  9. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Manyara, Mnyeti umekurupuka

    Napita tu hapa
  10. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Wewe usiye mwanachama wa CHADEMA umeingiaje kusoma uzi wa udaku?
  11. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Ambacho kingetokea Leo, angekuwa mtoto wa MAFIA

    Yetu macho na masikio kwenye hii issue.
  12. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Wewe mwenye maswali ya kikubwa ungetuwekea swali la kikubwa hapa kuhusu uchumi unavyodidimia ili upimwe na wanazuoni hapa kama wewe ni zaidi ya mbowe au la?
  13. nyundo j

    JamiiForums Tanzania Ondokana na dish, pata slim chip yenye chanel zaidi ya 200 bureee

    kumbe siyo bure aisee
Back
Top Bottom