TAMKO LA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUHUSU HALI YA TAIFA.
Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chake cha kawaida kilichofanyika tarehe 29-30 Januari 2011 jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa Taifa Mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe (Mb), pamoja na...
Wacheni kuongea habari za kufikirika. Mgombea wa NCCR alipata kura 25% na mgomea wa CHADEMA alipata 23%. Mgombea wa NCCR Gulamhussein Kifu amerudi CCM. Mgombea wa CHADEMA Muslim Hassanali ndio ameipatia CHADEMA ushindi mnono kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji. Hamna jamaa yeyote wa NCCR...
Amenyimwa. Ameambiwa TANESCO wana mpango wa kuweka umeme hivyo hawahitaji umeme wake. Nguzo chache zikawekwa chapchap halafu hamna kinachoendelea. Afunge kesi gani? ya TANESCO kuchukua muda mrefu kutimiza ahadi yake?
Na mimi sizugumzii mtu nazungumzia chama. Ndesa hakukwamishwa kama Ndesa...
Waberoya, mimi nafikiri Watanzania na sio vyama vya upinzani ndivyo vinatakiwa kuwa smarter than they are right now. Habari za ugomvi na mafarakano unayoyazungumzia yanayotokea kwenye vyama vya upinzani kwa kiasi kikubwa yanachochewa na vyombo vya habari. Na vyombo hivi tunajua wanaovimiliki ni...
Mgombea ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda kupitia CHADEMA, Bwana Finias Magessa amenyimwa kujenga hosteli ya wanafunzi kwenye shule ya sekondari ya wasichana jimboni Busanda. Amebaki ameduwaa na mabati yake.
Vilevile kama engineer wa nishati alikuwa ana mpango wa kuwapatia watu wa jimbo...
Katiba mpya itapatikana bungeni najua unalifahamu hilo. Wabunge wa CCM ni wachache sana, kama wapo, ambao wanaunga mkono katiba mpya. Hivyo lazima zifanyike juhudi nje ya bunge kwa kipindi hichi kuelekea uchaguzi mkuu. Juhudi za Hakielimu, TAMWA, vyama vya wafanyakazi na hata miongozo ya...
Kwa taarifa yako Vodacom wanatengeneza Bilioni Moja kwa siku. Narudia bilioni moja kwa siku. CHADEMA wanapata ruzuku ya milioni 60 kwa mwezi. Na hao wakurugenzi wa CHADEMA mnawawaona wanananeemeka na hiyo ruzuku wanapata laki mbili kwa mwezi. Kulinganisha Vodacom na CHADEMA is not fair.
Hili...
Kwanini na wewe usipiganie hayo? Unakwenda kuchagua viongozi wako wakati unajua fika kuna tatizo la katiba na tume ya uchaguzi. Utapataje viongozi waliyo bora? Hata kama wewe huna mpango wa kuchagua kiongozi kutoka kambi ya upinzani bado viongozi waliopo kwenye ballot box wa CCM wamefika hapo...
Sidhani kama mnaelewa the extent chama tawala kinakwenda kuhakikisha kwamba vyama vya upinzani vinashindwa kuanzisha chochote kile ambacho kinaonekana kutingisha hemaya yao. Na mkakati wao mkubwa uko katika kuhakikisha serikali haitupatii vibali. Nitakupa mfano rahisi kuhusu vibali ambao...
Sera ya CCM kwa muda mrefu sasa imekuwa ni kulindana. Kama sio kulindana tusingekuwa na ubabaisha kwenye hili suala la Richmond mpaka leo. Rostam, Lowassa na Kikwete walikuwa kitu kimoja kwenye uchaguzi wa 2005. Urafiki wao haukuanzia barabarani kama Lowassa alivyosema. Wana siri zao...
Ndugu AS naomba nikuulize swali rahisi. Ulijiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Na ulimpigia kura nani? Wengi wetu tunaolalamika kwamba vyama vya upinzani vimelala huwa hata hatushiriki kwenye chaguzi. Tunakubali kuchaguliwa viongozi wetu halafu tuko wepesi sana kutupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.