Tatizo akili ikishagubikwa na ushabiki maandazi...hata uwezo wa kufikiri unaporomoka. Inakosa hata simple logic. Sasa mnataka Rais atibiwe wapi? Eti wabunge wanatibiwa India...si mmeshasema wabunge? Kwani Rais ni mbunge? Mbona wao wanavotibiwa India kuna akina mama wanajifungulia sakafuni? Na...
Unajua unapokuwa umetawaliwa na chuki sio rahisi sana kupoteza hata uwezo wa kufikiri. Reasoning capacity yako inaporomoka unabaki ukibwabwaja kama mlevi. Kwani wapi mmesoma kuwa tuhuma hizo imeandikwa na wanyarwanda? Au kwa kuwa imetajwa Rwanda Air? Humo kwenye Rwanda Air walikuwemo wanyarwanda...
Watu wengine bwana burudani!hivi kila kitu lazima ubishe? Ameandika imetoka kwenye facebook wall ya Alberto kwa hiyo unategemea akupe ushahidi kuwa kweli katoa kwenye wall ya Alberto? How for instance? Aipige picha hiyo wall au?
Tafuta speech ya jana ya balozi wa Rwanda Tanzania...tena aliitoa kabla ya ile ya Mwandosya. He acknowledged sana tu mchango wa Tanzania katika hatua iliyopiga Rwanda...ICTR in TZ, kupokea wakimbizi wa Rwanda etc. Pole sana ndugu yangu naona leo umeamka na Mwandosya! Kwamba reading between lines...
"MTANZANIA" Jmali hujambo? Naona siku hizi umepunguza makali safi sana maana post za nyuma kuwezi kuongea bila kutaja kuwa watusi ni wabaya na hawastahili kuishi as if you had a hand in creating them...huku ukisahau kuwa ulizaliwa ukawakuta na utawaacha...anyway that was by the way si nia yangu...
Duh! Kazi kweli kweli! Mwakilishi wa nchi tena mgeni rasmi amesimama mbele ya ulimwengu na printed speech akiwepo hata mwakilishin wa UN akasisitiza jinsi ujirani na udugu kati ya Rwanda na Tanzania si kitu kigeni...kabla ya wakoloni kutukaga tulikuwa nchi moja...akaenda far na kusema migongano...
Adui yako wewe na nani Mburula?Tafuta apeech ya leo aliyotoa Mwansosya kama MGENI RASMI maadhimisho ya Genocide pale mlimani xity ndo utajua Kagame ni adui yako wewe binafsi. Katumia muda mwingi kuelezea kuwa magazeti na.mitandao yenye sababu binafsi nsio yenye kupandikiza na kukuza uadui na Tz...
I
Told you guys...Bwahahaha...Jiwe limempata mwenyewe! Kwa hiyo miaka minne JF ndo kipimo cha utanzania? Waliojiunga recently wote wa Rwanda tena watusi? Hahahahah!
Point yangu usijisahaulishe nimesema hivi: tuna suala nyeti sana la katiba mpya mbona siwaoni huko? Ila yakizungumziwa ya...
Narudia tena na tena na nitaendelea krudia...Kuweni makini na thread zinazoanzishwa hapa na wanyarwanda wanaotafuta sympathy au kuungwa mkono na watanzania katika chuki na propaganda za kwao. Kumbukeni dhambi yao ya ubaguzi ilisababisha nini 1994 before and beyond. Tusiruhusu ideology za...
Ndugu yangu arora54...kwa heshima zote (with all due respect) naomba niseme kwamba comment yako imenishangaza sana. Ni kweli statistics zinaonyesha watusi ni 'kabila dogo' katika Rwanda na Burundi ila najaribu kufikiria hiyo safari yako ya Kigali na Bujumbura ya December nakosa jibu...very...
Mimi nalia na ubora wa hizo hospitali...Ok tumezowea "wakubwa" na familia zao wakiumwa wanakimbilia nje ya nchi kutibiwa.Majuzi nimepata msiba wa ndugu yangu katika basi la mkoa...kuna uwezekano mkubwa kuwa uhaba wa huduma bora za dharura hospitali ulichangia kuharakisha kifo chake...hapo...
Guys let's be serious really...u can't reach such positions katika taifa umekula maviapo ya usiri then all of a sudden ukimbilie nje na uendelee kubwabwaja utegemeee utakuwa salama. Hakuna nchi isitokuwa na taarifa za siri ikiwemo mengine ya assassination etc...na hakuna nchi ambayo ingependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.