Recent content by nyukiii

  1. N

    JamiiForums Tanzania Benki nchini China na Tanzania

    Crdb
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada;nimekuwa na hasira na woga wa kupindukia

    Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpaka marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga. Naomba msaada wa sycologist na gharama zake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Sio kujiogopa kila kiukweli Niki cha mfano ukiwa Sana hasa kutokea kipind ndo nimeoa kabisa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Kiukweli hapo ndo nilipokosea lakin unaanzaje kuhisi babako unaweza kufanya hivi? Kitu ambacho nimejifunza usimwamini yeyeto kwenye pesa hata kama ni mzazi. Kila kwangu nifunzo pia, nimetambua marafiki wa kweli kwa kipindi hiki. Nimeona umuhimu wa mikataba hata kwenye vitu vidogo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Ntakopa tu nautafuta mzunguko wa benk tu,maana kwa Tanzania sikuwa na biashara yenye mzunguko ambao ningeenda naona bank. Kingine ukikopa ukiwa na stress huzalish, kama niliumia sana, nilikuwa naona mpaka aibu kutoka nje, ndo maana nimevumilia kwa miez kidogo ili mawazo na hasira zipungue
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Kwa sababu ni wakubwa wako vyuo washamua kupigana. Naiman mwakan watarud tu sabab wote wanapigana tununue mashine tu za kuanzia aliyekuwa udom nadhan mwez wa kwanza atanunua mota mbili.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Ni mzima tu kwa mtu ambaye ashafuatilia kwa nin biashara nying za kifamilia zinakufaga chanzo huwa ni kama hii kila yeye nahisi atakuwa alipata dogodogo msomi akamvuruga akili. Mungu yupo hajanitupa inawezekana ningeendelea kuwa naye ningekuja umia zaid ya hapa. Hiki kidogo tu nishaona mabadiliko
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Mungu yupo sikuamin kama ningeweza kuwa HIV mpk leo Haha hapana siwez kumtapeli sema mzee wangu amezoea vya kunyonga toka zaman ni sisis ndo tulikuwa hatujuo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Ndo mpango wangu huo ila kwanza nipunguze stress maana hali ilikuwa tete mpk nkaanza kuongea peke yangu. Madogo washasimama kuna sehemu wamepata kazi za kuvolunteer
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na baba mzazi, naombeni ushauri jamani

    Naendelea vyema ilinibid niuze baadhi ya vitu vyangu vya ndan kama sofa set na simu zetu tufungue kwanza duka la mtaan(kwa mangi). Make aligoma kabisa nisienda kwanza moza. Kwa hofu ya hasira ambayo nilikuwa nayo ningefanya mambo ya ajab.kiukweli pamoja ya kuwa ni kidogo lkn mungu anajalia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Duuh
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni biashara ipi inayofaaa kwa kianzio cha laki 5?

    Ukihitaji usaidiz nitafute
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni biashara ipi inayofaaa kwa kianzio cha laki 5?

    Nenda ferry nunua dagaa wabichi njoo uwakaushe na kuwabanika. Then tafuta soko uuze kama dagaa wa kigoma.
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopian and Eritrean leaders in Kenya, nearly fight in KTN Studio

    Duuu hiloo guu tu Mimi
Back
Top Bottom