Pole sana mkuu, soma maneno haya Mara kwa Mara utarudi hali yako ya kawaida kwa uwezo wake Allah(subhana wataala).Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpk marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga. Naomba msaada wa sycologist na gharama zake
Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpaka marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga.
Naomba msaada wa sycologist na gharama zake
Pole sana mkuu, soma maneno haya Mara kwa Mara utarudi hali yako ya kawaida kwa uwezo wake Allah(subhana wataala).
LAA ILAHA ILLA ANTA SUBHANAKA INNI KUNTUM MINADHWALIMIINA.