Recent content by NYOTIENO JARIEKO

  1. N

    Nakutana na vituko kazini ila kwa hiki cha jana ngoja niseme tu

    Jamaa Katoa elimu kwa sisi ,na huwezi kumtambua mgonjwa,Daktari na hata Hosptali..sasa we unaumia sisi kupata elimu ? au nyie ndio wale wale..
  2. N

    Madaktari naombeni msaada: Mwenza wangu alidondoka wiki iliyopita mfumo wake wa hedhi umebadilika

    Naona moderator wamekusaidia ...mwanzoni uliandika "dem wako" badala ya mwenza wako ,wanakuja kukisaidia mkuu
  3. N

    Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

    Mkuu punguza hasira,ni maisha tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Ndio hivyo mkuu, Dogo hana jinsi ya kujikwamua coz aliyemtegemea ndio hivyo kashetangulia. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Mm nipo kwa Makonda...Dogo yupo Mara Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Mkuu Mali alizo acha marehemu baba wa binamu ni Mashamba,nyumba (yapo kijijini) tatizo imebaki kwenye fedha anazotunziwa kila mtumishi wa umma anapofanya kazi (mfuko wa PSSSF) ndio dogo anataka afuatilie coz Mashamba walishagawana kitambo na nyumba wamemwachia dogo,alafu vuta hali ya kijijini...
  10. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Nirekebishe nini hapo mkuu ? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Huyu ndugu yangu(binamu), baba yake alikuwa mwalimu alafu akapanda kuwa afisa mratibu kata, alifariki Desemba 2002 akaacha watoto watano na mjane moja, mke wake (mjane) alisumbuliwa na maradhi (systematic disease) mpaka mwaka huu April aliaga dunia kwa hiyo hakufuatilia mirathi. Kati ya hao...
  12. N

    Majukumu ya mwanamke kwenye ndoa ni yapi?

    Napendekeza ustawi wa jamii wajikite kutoa elimu na majukumu ya ndoa kuliko kufuatilia wanaume wanaoterekeza wanawake na watoto wakati chanzo ya kuterekeza wanawake na watoto ni kutokuwa na elimu ya ndoa. Ukifuatilia ustawi wa jamii wakihojiwa na kutoa elimu wamejikita sana kwenye matokeo (out...
  13. N

    Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Mkuu watu kama hao usitumie nguvu nyingi kuwajibu, wana daraja la kwanza ya upumbavu, kama anatamani kupiga debe stand kuliko kuwa mwalimu,huyo ni mkweche mwache tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

    Mkuu ni Emmy huyu huyu ninayemfahamu au mwingine..coz hata kwangu namkubali...hanaga mbwembwe. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom