1. Naishi mwenyewe
2. Hakuna yeyote ambaye anazingia ndani kwangu ni mimi na vitu vyangu.
3. Sina hiyo kawaida ya kuingiza mtu ndani kwangu, mazingira ya kawaida yan kitanda na vitu vingine vya ndani na Sina makoro Koro ni chumba cheupe sana coz ndo kwanza naanza maisha.
Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
Umenikimbusha mbali sana Mshana Jr mwaka 2006 nilienda na rafiki yangu Kwa shangazi yake kumsalimia, keko magurumbasi tulilala huko basi bwana usiku tumelala nikaanza kuona vitu vya ajabu mara niguswe mara niitwe na pale ni mgeni lakini naitwa jina langu kabisa 😭😭 usiku ule nilishindwa kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.