Ni kweli mkuu ni miongoni mwa walioamka jioni....Wale waliozaliwa mwishoni mwa 1980's na mwanzoni mwa 1990's ni watanzania pia wanapaswa kuwajua mashujaa hawa....Bandiko langu hapo juu limeshauri kufanyike jitihada tulioamka jioni tuimbe na sisi nyimbo za mashujaa hawa...japo nimeshauri kwa...
Mimi huu unafiq ndio kila siku naukataa na nitaendelea kuukataa mpaka siku ya mwisho......tulikuwa wapi siku zote hizo kumsifia na kuenzi uzalendo wake? amefariki ndio povu linawatoka...!! Hashim tafadhali huko ulipo usipokee r.i.p za wanafiki, pokea r.i.p za familia yako tu kwamaana ni za dhati...
Haya ndio madhara ya kujamiiana mchana wa jua kali.....mtu unakurupuka hujanawa unakimbilia kuanzisha thread ambayo haieleweki mbinguni haipo duniani haipo.....Siasa ni pure mathematics...aliyejiandaa vyema ndiye atakuwa rais...mambo ya vitendawili na usheikh yahaya muachie mwanae aliyemrithisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.