Recent content by Nyopanga

  1. N

    Je, ni kweli ukiwa na Diploma huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit tatu (3) za O-Level

    Ikiwa hivyo watakuwa wamefanya jambo la msingi Sana maana haiwezekani D nne ni ufaulu wa kijinga sana kusoma degree. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Selection form five

    S5253/0019
  3. N

    Inakuhusu: Kwa yeyote aliyehitimu kidato cha nne 2018 na alikua akisoma sayansi na kupata division 1 au 2 pekee

    Iko hivi kwa vyuo vilivyoko chini ya NACTE kwa kada ya Uhandisi yani DIT, ATC , na MUST japo saizi hii MUST ni University kama umesoma vyuo hivyo diploma kwa corse hiyo hiyo uliyo soma ukiomba digree unasoma miaka mitatu mfano umesoma Civil Engineering DIT ukiomba hiyo hiyo Civil Engineering...
  4. N

    MSAADA NAMNA YA KUBADILI COMBINATION UPYA

    Utabadili baada ya post kutoka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Sugu Bungeni: Tubishane kwa hoja sio kwa bunduki,ailipua Chato Airport

    Huyu nae ni member wa jamii forum
  6. N

    Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    Dawa ni migomo mikubwa ya vyuo vyote nchi nzima hiyo ndo inayo weza kuwasaidia maana huyo Rais ni mpenda sifa hataki kuonekana kama anaharibu wakati kumbe hana lolote maana unaona alivyo wai kujitangaza kua kisha idhinisha pesa ili tu jamiii imuone kua anatimiza ahadi zake kumbe wanafunzi...
  7. N

    Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    Haki aiombwi haki inatafutwa kwa mwendo huu wa kuandika barua za kusifia na kutia huruma haito saidia kitu.
  8. N

    Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

    Me nimeanza punyeto tangu mwaka 2010 na muda naweza piga punyeto hata mara 5 kwa siku lakini hadi saizi nikienda kwa demu anaelewa tu jinsi nlivyo fit mimi bado natafuta huu usemi wa punyeto wanautolea wapi kua ina madhara.
  9. N

    msaada wa bachelor of science in artitechture ardhi vs molecular biology and biotenchnology udsm

    Mzee hilo linahitaji msaada mbona ni jambo liko wazi Actecture au unataka jina la chuo mzee.
  10. N

    DIT vs UDSM(COET) projects

    Typing error ni jambo la kawaida swala la msingi simamia point sio kukosoa votu vidogo kama hivyo.
  11. N

    DIT vs UDSM(COET) projects

    Ndio mfano ni mimi binafsi nilimaliza DIT diproma ya Civil Engineering nikaja coet degree naingia kwaka wa 4 sasa ila najuta kwa nini hawakunibakiza DIT kwa sababu hadi saizi knowledge nilizo pata diproma ndo zinanisaidia hadi saizi kuliko ninacho kipata saizi zaidi ya Umbea mwingi bila action.
  12. N

    DIT vs UDSM(COET) projects

    Wapo Coet pia wanatamani kua DIT
  13. N

    DIT vs UDSM(COET) projects

    Ila nimeona jamaa kaongelea project hebu jaribuni kuonesha project zilizofanywa na wana Coet na za wana DIT tuone ni wapi wana project kali au tupate watu kama wakina Mello walo tengeneza forum hii hadi leo mnapata nafasi ya kubishania tunaombeni hizo project sio maneno mengi yasio jenga mifupa...
Back
Top Bottom