Recent content by Nyoni NP

  1. Nyoni NP

    Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

    Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani! Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
  2. Nyoni NP

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Nitumie mimi hiyo picha ya nyumba, mana na mimi saizi nimemaliza boma lote just kwa mwezi mmoja tu. Bado kupaua tu ndo nakusanya nguvu ya pesa tena, nyumba ya vyumba vinne na kila kitu ndani. Makadirio ya kupaua ni stress tu napewa na mafundi mana kila fundi anakadiria gharama tofauti
  3. Nyoni NP

    Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

    Asante sana Mkuu, nakushukuru mno! Mimi ninamiliki ni hii hapa kwenye picha Honda Fit ya Mwaka 2002, Nyeusi. Ni kweli gari hizi zinakimbia sana, na kichanganya haraka sana. SAMAHANI KWA KUKUSUMBUA unisaidie tena mana hii Honda Fit nina muda mfupi tu tangu niagize , toka Japani Kuja Bongo. 1...
  4. Nyoni NP

    Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

    Dextron II ni special kwa Engine au ni kaajiri ua Gear box? Hivi mikoani hiyo Oil inapatikana kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nyoni NP

    Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

    Model year ni 2002. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nyoni NP

    Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

    Msaada wa Oil zinazo faa kwa gari aina ya Honda Fit, ni zipi mm tusaidie wataalamu, Oil ya Engine na Gear Box. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom