Muonyeshe unampenda wastani na si kupita kiasi vituko atakachokufanyia utajuta maishani mwako.Zawadi pekee unayoweza kumpatia ni uaminifu juu yake na upendo wa kweli.Mengineyo ni nyongeza tu katika maisha .Usijaribu kumuonyesha maisha ya kisanii kama bongo movie .Kwani maisha ya ndoa ni dhamana...
wewe umeharibu ulikuwa na house girl mzuri sana .Huyo anaweza kukukomoa atapata mimba ya mtu mwingine na akasema ni yako na watu wataamini kwa sababu ni mzinifu.la msingi wewe mwambie mke wako uzalendo ulikushinda ukateleza .kabla ya mambo hayajaaribika aondoke haraka sana la sivyo utakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.